Search results

  1. N

    Wakati wa mimi kusema umefika

    Watu mnamtukana Mama zenu na Dada zenu na wake zenu kwa kudhani kuwa Mnamtukana Deus F Mallya. Poleni sana
  2. N

    Wakati wa mimi kusema umefika

    Mmepewa mamlaka hata ya kutoa laana kwa wenzenu? noma sana
  3. N

    Wakati wa mimi kusema umefika

    Mbona mnakimbilia chaka jamaniiiii. Kusema ni kutumika? vitu viwili tofautiii
  4. N

    Wakati wa mimi kusema umefika

    Hahahahahaaah Kwani umejua anachotaka kusema? Acheni kujistukia
  5. N

    Wakati wa mimi kusema umefika

    Naona mapovu tuuuu. Shangilia atanyongwa soon sasa. Acha kelele
  6. N

    Wakati wa mimi kusema umefika

    Mbona mnahangaika sana? Kwani mmeshajua anachotaka kusema?
  7. N

    Wakati wa mimi kusema umefika

    Mnachochekesha ni kwamba hata hamjui anachotaka kusema lakini mmeanza kusema na athari zake
  8. N

    Wakati wa mimi kusema umefika

    Hahahahaha....... Mbona umemaliza kabisa Mkuu duchi ???
  9. N

    Wakati wa mimi kusema umefika

    Subiri kwani unaenda wapi? Mtahaha sana
  10. N

    Wakati wa mimi kusema umefika

    Ndiyo maana amesema Wakati wa kusema umefika. Jambo lolote ni wakati tu. Muacheni aseme msimzibe mdomo. Kwa mnavyotokwa mapovu wenyewe naamini mnajua kuna jambo limefichika hapo. Hata hajasema anachotaka kusema naona mnaanza kumshambulia !!!!!!!!!!!!!!!
  11. N

    Wakati wa mimi kusema umefika

    Inawezekana unajua anachotaka kusema?? Hahahaha. Mwaka wenu huu:flame:
  12. N

    Wakati wa mimi kusema umefika

    Mbona unatokwa na povu sana??? Kwanini hamtaki aseme? mnaficha nini?
  13. N

    Wakati wa mimi kusema umefika

    Nimesoma nimekuelewa Ndugu Mallya lakini ni lini utasema? pia kinachonitia mashaka ya unachotaka kusema ni kujitokeza kundi linalopinga wewe kusema. Hili kundi ni la nani? Liko chini ya nani? Wanataka unyamaze kwa faida za nani?
  14. N

    Elections 2015 Mwigulu Nchemba: Huu Unyama Una baraka zote za Dr. Slaa na genge lake

    Hizo ndizo ahadi za CCM kwa wana Kalenga? Au sijui siasa vizur. Ngoja nirudi darasani
  15. N

    Bungeni live: Ufafanuzi wa hoja za wajumbe kuhusiana na rasimu.

    Kamati imeogopa kujilipua sasa wamepeleka mabomu kwa Pandu A. Kificho. Wajumbe wapige kura ya siri kuamua kama wanataka kura ya siri au ya wazi.
  16. N

    Je CHADEMA isipochukua nchi 2015 tutarajie mpaka lini tena?

    Rejea michango yangu hapo juu toka league. Nimejitahidi kukuelewesha kwa kina lakini badala yake Mmeishia kutukana na kujibu kwa kebehi.. naacha kukujibu kuanzia sasa kwa kuwa naamini vichwa vingine huwa havielewi mpaka vipigwe vibao vya masikioni.
  17. N

    Je CHADEMA isipochukua nchi 2015 tutarajie mpaka lini tena?

    Sasa kama ni auto fillings ulikuwa na haja gani ya kuja kuuliza hapa? Huelewi, ukieleweshwa hutaki kuelewa!.
  18. N

    Naunga Mkono Kura ya Wazi kwenye Bunge la Katiba; Sababu Zangu 7

    Mkuu.. si mpaka wawe na uhakika wa kupitishwa kwa katiba hiyo? Kwa mfano Znz wasipoona wanayoyataka yawemo kwenye katiba hiyo wataikwamisha kwenye referendum. Kadhalika Tanganyika tusipoona tunayoyataka ndani ya katiba tutaikwamisha. Watapataje ubunge?.
  19. N

    Je CHADEMA isipochukua nchi 2015 tutarajie mpaka lini tena?

    No evidence no right to write. Shut up kama huna ushahidi. Nakushauri tu. Hizo propaganda hazitawasaidia popote. Nape Nnauye aliropoka kuwa Chadema iko funded na CDU alipotakiwa kuthibitisha akameza maneno yake mbele ya wanahabari.
Back
Top Bottom