Search results

  1. combra

    Ajali

    Nilipata ajali na pikipiki nikapata majeraha kwenye goti lkn vidonda vimepona lkn mguu hautaki kunyooka alafu maeneo ya goti bado kunauvimbe naombeni msaada nitumie dawa gani ya kunywa na ya kuchua msaada plz
  2. combra

    Msaada: Mgonjwa wa cancer hali mbaya

    Asante kwa ushauri
  3. combra

    Msaada: Mgonjwa wa cancer hali mbaya

    Naombeni msaada, Nina ndugu yangu anaumwa cancer ya tumbo ila ameshafanyiwa operation na tumelipa gharama kubwa sana ila sasa hivi inatakiwa apate dawa kila baada ya wiki tatu ila gharama za dawa kwa dozi ni tshs 1, 832, 000/= Kusema kweli hela hatuna tumeshindwa hata kumkatia bima, naomba kwa...
  4. combra

    Tv set 4 sale..

    chabo weka namba ya simu tuongee kuhusu hiyo tv
  5. combra

    Maaskofu, wananchi ‘wamchanachana’ Slaa

    Roho za chuki ziondoke juu yako na yule mwovu shetani aondoke kwako.nasema haya ktk jina la yesu.AMEN
  6. combra

    Yupo wapi Alfred Lwakarate kamanda?

    Huyu mtu sijamwona tokea kampeni zimeanza na ni mtu muhimu sana ni Mkurugenzi wa ulinziCHADEMA au na yeye amepotezwa kama wale wawili.
  7. combra

    Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo - Agosti 30, 2015

    jaman mbona jana chadema haijaongelea habari yeyote ya ACT, kwani wao hawana ilani ya chama chao? au ilani yao ni lowasa.Zito kweli ni hopeless kwa lugha nyingine ni "unproductive"
  8. combra

    Mkutano wa UKAWA Gairo waingia dosari...

    nipo kwenye mkutano wa ufunguzi wa ubunge katika jimbo la Gairo morogoro mkutano adi sasa haujulikani utafanyikia wapi baada mkufukuzwa uwanjani ambako ulikuwa ufanyike mkutano.lkn uwanja huohuo jana ccm walifanyia mkutano wa ufunguzi. chadema wajipange kabla ya kufanya mambo yao.
  9. combra

    Jamani mimi naumia sana kama Mtanzania mpenda haki kwanini CHADEMA wanaonewa?

    yaani kila jambo ambalo chadema inataka kulifanya lazima liwe na pingamizi tu kwani chadema imefanya kosa gani kubwa kwa serikali ya ccm jamani.ni chama kama vilivyo vyama vingine mara masha amekamatwa, mara wabunge wao wamevamiwa na kiporwa form na wananyofoa baadhi ya document kwnn chadema tu...
  10. combra

    Yupo wapi Vicent Nyerere, mbona CHADEMA hawamtumii kama mwanzo?

    je atamweza makongoro Nyerere mtoto halisi wa baba aliyekulia ikulu na wote anawafahamu.uliza juzi jangwani alivyo mchambua kama karanga sumaye hutachoka.
  11. combra

    Yupo wapi Vicent Nyerere, mbona CHADEMA hawamtumii kama mwanzo?

    tokea hekaheka za uchaguzi zimeanza huyu mbunge wa musoma mjini kupitia chadema mjukuu wa Nyerere haonekani kabisa kwenye hafla yeyote ya chadema au naye ameamua kujiweka pembeni kama Dr.maana naona wanamtumia sana Salum Mwalimu.lakini ikumbukwe bila vicent Nyerere chadema isingeshinda...
  12. combra

    SWALI: Je, Rais mstaafu wa chama tawala anaweza kuhamia chama cha upinzani?

    Waungwana nilikuwa naomba kujua kama Rais mstaafu, Je anaruhusiwa kuhamia upinzani? Je, katiba inamruhusu kufanya hivyo?
  13. combra

    Maana ya upumbavu kwa mujibu wa Sugu na wengine wataalamu

    mpumbavu ni mimi niliyekubali mtu kujimilikisha kiwanda cha makaa ya mawe kiwira akiwa ikulu bila hata kuhoji.lazima nitaonekana mpumbavu na lofa tu.ila tutakutana October 25 asbh na mapema
  14. combra

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    minekakaa chini na kutafakari sana ujio wa waziri mkuu mastaafu bwana Fredrick Sumaye kujiunga na ukawa.kusema kweli mimi mi mwana ukawa damu lkn sijafuraishwa na ujio wake kwa sasa kwani amejenga taswira mbaya kwa wananchi tumeonekana ni walewale kama ccm. lowasa alitutosha sana.we destroy our...
  15. combra

    Mfumo ule ule unataka kurudi kupitia UKAWA!

    leo umeongea point sana.
  16. combra

    Unaweza kupuuza lakini ukweli ni kwamba sura ya Lowassa ni mtaji wa kura

    bhanaee magofuli anatutisha toa picha yake peleka jukwaa la chit-chat tunaomba fanya ivyo
  17. combra

    Nsanzugwanko adanganya fomu za uteuzi

    ukiona ivyo ata darasani walikuwa vilaza hawana sifa ya kuwa kiongozi. form ya ubunge unakaa nayo siku ngapi adi akose umakini wa kuijaza huyo ni kilaza ila nikawaida ya ccm kuwa na vilaza na mifano mnayo wenyewe kumbuka ishu ya ESCROW kula kilaza mwingine alipewa dakika 30 ila aliongea pumba...
  18. combra

    Sijafurahishwa na uteuzi wa Dr Benson Bana kuwa Mwenyekiti wa kutoa elimu ya uchaguzi

    Uteuzi wa Dr Benson Bana kuwa Mwenyekiti wakutoa elimu ya uchaguzi haujanifurisha kabisa kwani huyo bwana anaonekana ni mfusi wa chama kimoja na kuponda sana upinzani. Kwa nafasi aliyopewa anaweza akatoa mafunzo yanayoweza kukibeba chama kimoja. Uteuzi huo umefanywa na shirika la kimataifa...
Back
Top Bottom