Search results

  1. M

    Kwani na Mh. John Cheyo ni CCM?

    jana baada ya budget dhaifu,komba alianzisha wimbo wa kusifia magamba kwa kutaja jina la chama.sasa kati ya watu wa liosema ndiyo kwa budget dhaifu mh,cheyo nae alikiua mmoja wao. pia kwa upeo niliokuwa nao nilijua budget ile ilikuwa ya matumizi ya watanzania wote,kwa kutojali wanatoka chama...
  2. M

    Ushauri: Nina wasiwasi mwenzenu!

    Habari ya asubuhi wanajamvi, namshukuru Mungu nimeamka salama. Jana baada ya shughuli za siku nzima nilirudi nyumbani kwangu, na muda wa kulala ulipofika nikavaa nguo zangu za kulalia nikalala salama. KINACHONIPA WASIWASI, leo nimeshituka mida ya saa 04:45 alfajiri nikaajikuta sina nguo hata...
  3. M

    Udini ni mtaji wa mafisadi

    Habari zenu wana jamvi,naomba nieleze ambacho nimekuwa nikikifanyia kazi kwa ukaribu zaidi na kupata maoni ya wadau mbalimbali.suala hili la udini limekuwa likiongelewa na kuonesha dalili zote za kutugawa watanzani kwa misingi ya ukristo na uislamu.huu ni mpango kabambe wa mafisadi ambao...
  4. M

    hallow!

    habari zenu wana JF!
Back
Top Bottom