Kwani na Mh. John Cheyo ni CCM?

mamajack

JF-Expert Member
May 21, 2012
1,156
296
jana baada ya budget dhaifu,komba alianzisha wimbo wa kusifia magamba kwa kutaja jina la chama.sasa kati ya watu wa liosema ndiyo kwa budget dhaifu mh,cheyo nae alikiua mmoja wao.
pia kwa upeo niliokuwa nao nilijua budget ile ilikuwa ya matumizi ya watanzania wote,kwa kutojali wanatoka chama gani,ila baada ya kusikia ule wimbo,nikaelewa kuwa ile budget ni ya chama na kuipitisha sio msimamao wa mbunge mmoja mmoja ila maelekezo ya chama.yawezekana mtazamo wangu hauko sawa,naomba wadau mnisaidie.
 
Tuna tatizo la kupata wapinzani wa kweli , na tatizo kubwa ni "political ideology and management" za mchumia tumbo.Ikumbukwe chama cha mzee cheyo kina mbunge mmoja ambaye ni yeye tu.Na hata anavyo kijenga chama hakuna mkakati wa dhati, hata ofisi ya chama ni kichekesho .hakuna anayebisha kuwa mzee mapesa yuko pale kwa masilahi yake na CCM.
Nakumbuka wakati ule chama chake kilipokuwa na nguvu usukumani, hasa bariadi , mzee cheyo alikuwa hatoi mahesabu ya uendeshaji wa chama.Ikatokea wakamwomba aitishe mkutano mkuu ajenda ni kuwasilisha mahesabu ya chama.Alikataa, ndo enzi hizo akina jidula mambambasi wakatafuta fedha wakauitisha mkutano huo.Yeye pia alihudhuria kama mwenyekiti wa chama.Ilipofika muda wa kuwasilisha mahesabu ya chama, alivunja mkutano , na kuahirishwa kisa , anaudhuru na anasafiri .Akina jidula mambambasi walikomaa," kuwa mkutano uendeshwe na makamu mwenyekiti.Ndipo walipomg'oa na yeye kukimbilia nje.
Ni ukweli usiopingika bila mkapa kutumia jitihada za kumtumia msajili wa siasa enzi hizo LIUNDI, tayari alikuwa kapoteza uenyekiti.Kwahiyo, huo ni ukweli usipingika kuwa CCM ilimsaidia sana.Hivyo ni lazima arudishe fadhila .kushangiliaCCM bungeni ni wajibu wake na wapiga kura waliomtuma.
 
asante sana umenielewesha,kumbe wapinzani wanakuwa financed na pesa za kifisadi.watu kama cheyo ndiyo ccm b.KWAHIYO BASI,UKIONGELEA UDP,UNAMAANISHA ZAO LA CCM LENYE TUNDA MOJA.poleni wanabariadi.
 
serikali ni watanzania wote bila kujali chama sababu hakuna dola ya ccm wala mahakama ya ccm, wala hazina ya ccm na ardhi ya ccm bali ni za taifa la watanzania.Kuwa madarakani ni dhana ya kuwatumikia watanani, bila kujali chama, rangi, dini , nasaba, mahali.Kufanya hivyo ni kujenga ubaguzi wa jabu sana.
 
Kweli kabisa wala hujakosea na ndio maana kutokana na mfumo wetu wa Kikatiba wa sasa huwa tunachaguwa ni nani wa kuwa viongozi wetu wa Serikalini, na kwa sasa Watanzania walio wengi wameichaguwa CCM ndio iongoze kwenye taasisi ya Urais na pia wananchi wakawachagua Wabunge na Madiwani wengi zaidi wa kutokea CCM kuwaongoza, hiyo ndio hali halisi kwa wakati huu. Vyama vingine ambavyo havikupewa ridhaa ya kuongoza serikali, vinabaki kuwepo kwenye mhimili wa tatu "Bunge" kwa uchache wao na udiwani pia kwa uchache wao ili na wao wapate kuchangia katika utungaji wa sheria na kuendesha mambo yanayohusiana na waliowachagua kwa uchache wake.

Kwa hiyo, nakubaliana nawe Serikali ni sisi sote, lakini viongozi wa Serikali ni waliotoka Chama Cha Mapinduzi kwa ridhaa ya Watanzania walio wengi. Upinzani kwenye uongozi wa Serikali ni "0".
 
Ni ya wananchi wa Tanzania. Achana na mawazo ya kizamani chama kushika hatamu.

Mpaka sasa sijaona Kiongozi wa Serikalini kutokea chama kingine zaidi ya CCM. Au yupo?

Kweli kabisa wala hujakosea na ndio maana kutokana na mfumo wetu wa Kikatiba wa sasa huwa tunachaguwa ni nani wa kuwa viongozi wetu wa Serikalini, na kwa sasa Watanzania walio wengi wameichaguwa CCM ndio iongoze kwenye taasisi ya Urais na pia wananchi wakawachagua Wabunge na Madiwani wengi zaidi wa kutokea CCM kuwaongoza, hiyo ndio hali halisi kwa wakati huu. Vyama vingine ambavyo havikupewa ridhaa ya kuongoza serikali, vinabaki kuwepo kwenye mhimili wa tatu "Bunge" kwa uchache wao na udiwani pia kwa uchache wao ili na wao wapate kuchangia katika utungaji wa sheria na kuendesha mambo yanayohusiana na waliowachagua kwa uchache wake.

Kwa hiyo, nakubaliana nawe Serikali ni sisi sote, lakini viongozi wa Serikali ni waliotoka Chama Cha Mapinduzi kwa ridhaa ya Watanzania walio wengi. Upinzani kwenye uongozi wa Serikali ni "0".
 
Nionavyo mimi bajeti imepitishwa kwa ushabiki wa vyama kuliko kwa manufaa ya taifa kwa ujumla yake.Ni maisha tuliyojiwekea mwakani tutasikia wimbo ule ule mahali palepale na watu walewale.Pole zetu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
jana baada ya budget dhaifu,komba alianzisha wimbo wa kusifia magamba kwa kutaja jina la chama.sasa kati ya watu wa liosema ndiyo kwa budget dhaifu mh,cheyo nae alikiua mmoja wao.
pia kwa upeo niliokuwa nao nilijua budget ile ilikuwa ya matumizi ya watanzania wote,kwa kutojali wanatoka chama gani,ila baada ya kusikia ule wimbo,nikaelewa kuwa ile budget ni ya chama na kuipitisha sio msimamao wa mbunge mmoja mmoja ila maelekezo ya chama.yawezekana mtazamo wangu hauko sawa,naomba wadau mnisaidie.

Cheyo ni UDP ni CCM C wanampa vyeo ndani ya Bunge, CCM hawampi Mpinzani kwenye Jimbo Lake
 
Mbona CHEYO ndio UDP na UDP ndio CHEYO....Na kama unategemea CHEYO ni mpinzani umechemsha. Jamaa ni usalama wa magamba.
 
Kumjadili Komba hakuna tofauti na sisi pia kujaribu kudhihirisha kuwa tu-dhaifu. He is a useless and nuisence just as the other magamba we know
 
Back
Top Bottom