Search results

  1. M

    wasomi waonya hakuna mtaji wa siasa kupitia uvunjifu wa amani na kulaghai watu kudai gesi yao.

    Wasomi waiobobea nchini wakiongozwa na baadhi ya wahadhiri waandamizi leo hii wamekemea utoto uliopitiliza hivi sasa kwa baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa kushiriki kikamilifu katika kila vurugu zinazifanywa kukaidi sheria zilizopo kuwa itakuwa ni kujidanganya kuwa hii inaweza kuwa ni njia...
  2. M

    Wafadhili waambiwa walete pesa za maendeleo siyo za kuchochea vurugu afrika zinazoeneza umaskini

    Gwiji la uchumi na maendeleo duniani joe stiglitz amewatolea uvivu wafadhili wanao liangamiza bara la afrika kwa kisingizio cha demokrasia. Professor huyo aliyewahi kuwa mshauri wa uchumi wa rais bill clinton amesikitishwa sana na hali ilivyo nchini libya ambapo kwa mara ya kwanza katika...
  3. M

    Kwa nini wasomi wengi na watu wa dar-es-salaam hawajakbali upinzani?

    Kuna mtazamo kwa Dar-es-salaam wanaogopa mabadiliko na wanaogopa upinzani. Pia wengi wamekwenda mbali na kusema hata wasomi wengi Dar-es-salaam hawakubaliani na upinzani. Kuna viashiria vingi. Mfano wanasema mpiganaji hodari wa mageuzi alikuwa professor Anna Tibaijuka ambaye alianzisha BAWATA...
  4. M

    Nchi yetu sote, vyombo vya habari vinatugawa watanzania vitajuta hilo wanalolikusidia likitokea

    Hakuna ubishi hivi sasa vyombo vya habari tanzania vinaikaka nchi vipande vipande. Kuna ambavyo vimeamua kuipigania serikali kuna vilivyoapa kuwa havitaweka top coverage ya serikali hata kama rais anaongea na mbunge wa chama fulani ana hutubia huko ikwiriri basi hiyo ya ikwiriri ndo itakuwa top...
  5. M

    Wananchi Morogoro waponda M4C wamtaka Kinana awaeleze maana yake nini???

    Wananchi wa mji wa Morogoro mjini kasoro Bahri wameponda M4C kampeni inayoratibiwa na CHADEMA na kuonya Watanzania wajifunze Misri Iraq Libya na kwingineko ambako watu wameweka mikono vichwani baada ya kukuta wamekabidhi nchi kwa wanaharakati ambao hawana jipya zaidi ya kutegemea Wazungu ambao...
  6. M

    Gazeti la tanzania daima kufungiwa kama itajisahau kiasi hiki

    Hapana shaka kwa hali inavyokwenda tanzania daima ni kama limeamua kujilipua. Jana limeandika habari tata sana kwa kukiuka maadili ya uandishi na privacy ya watu mbalimbali kwa kisingizio eti linaripoti taarifa ya mebere marando. Wakati wahusika jana walipeleka malalamiko kwenye vyombo husika...
  7. M

    Utetezi wa CHADEMA kwa Lwakatare unatia shaka

    Nimefuatilia kwa makini matamshi mbalimbali ya viongozi wa CHADEMA juu ya utetezi wa mkurugenzi wa Usalama wa CHADEMA Bwana Lwakatare. Napata shaka kwa kauli za kubadilika badilika. Kwanza viongozi hao walishikilia kuwa mkanda huo muetengenezwa siyo halisia. Baadaye wakasema ni njama za Mh...
  8. M

    Odinga na Musyoka wanafundisha nini kwa wapinzani wenzao Afrika Mashariki??

    Jana nilisikitika sana kusikia eti Odinga na Kalonzo Musyoka hawakuhudhuria kuapishwa kwa rais Uhuru Kenyatta. Alafu nakumbuka baadhi ya wanasiasa hasa wa upinzani nchini wamekuwa wakitumia mifano ya Kenya kuwa imepiga hatua Tanzania ijifunze kutoka huko. Lakini bado mhhh nadhani Tanzania ni...
  9. M

    Kigoda cha mwalimu na kongamano la azimio la arusha wamekosa ubunifu

    Ni mara ya tano sasa tuna shuhudia kongamano la kigoda cha mwalimu pale Nkrumah Hall chuo kikuu cha Dar es salaam. Tunawapongeza kwa kujaribu kuiongoza jamii katika jambo muhimu kama hili. Lakini kuna wasi wasi kama kuna mchango wa kitaaluma kwa hawa wasomi. Kumekuwa na kupinga tuu...
  10. M

    Utetezi wa Tundu Lissu kwa Lwakatare unatia shaka. Je, ya sumu mbona hakuna tamko?

    Nimefuatilia matamko mbalimbali ya Mh Tundu Lisu kuhusu tuhuma za Ugaidi zinazomkabili Wilfred Lwakatare. Naamini huyu Mh Lisu ni mwanasheria na wakili anayefahamu fika athari za kuharibu mwenendo wa kesi zilizoko mahakamani kwa kuzungumzia masuala hayo nje ya mahakama mfululizo tena kwa...
  11. M

    Big up rais wetu kikwete mipango yako tumeiona na tunaikubali wana ubungo

    Katika ziara ya mheshimiwa rais kikwete aliyoifanya ubungo mwezi uliopita alituduwaza.aliahidi kuwa ndani ya miezi tu suala la maji ubungo litakuwa historia na kero za wana ubungo zitakuwa zimekwisha. Sasa tumepata alichokimaanisha. Watu wa dawasco kimara wametuhakikishia kuwa ni kweli...
  12. M

    CCM UDOM waunga mkono kipigo cha wakina Rage wataka iwe ndio njia pekee ya kulinda usalama

    Wanachama na wapenzi wa CCM katika chuo kikuu cha Dodoma wamefurahia hatua kali iliyochukuliwa na wana CCM kujilinda na kumpa mkongoto kada maarufu wa CHADEMA Dodoma bwana Swai. Walisema kwa sasa ustaarabu katika siasa unatoweka na nchi isipochukua hatua yatatukuta ya kenya misri na tunisia...
  13. M

    Tetemeko Kigoma asiye na macho haambiwi tazama. Haijawahi kutokea Mwakyembe juu

    Kama kuna siasa za kujidanganya kwa kubeza kila jambo basi kwa hili la treni mpaka kigoma ccm imepiga bao. Hapana shaka demage ni kubwa kwa power mongers ambao wao huwa ni kukosoa tuu utadhani ndani ya chama chao wanamaadili sana kumbe watu wanajikopesha pesa tuu kama saccos na hakuna pay roll...
  14. M

    Siwezi kuipenda CHADEMA mpaka itueleze mambo matatu

    Kwa nini vuguvugu la M4C halina mashiko kwa wa Tanzania? CHADEMA inapenda saana kushika dola kwa hali na mali. Lakini haijajiweka sawa kwa watanzania hasa katika mambo makuu manne. 1 nini itikadi ya CHADEMA?? Wakati hiki chama kinasajiliwa kilisema ninafuata itikadi ya kibepari na ndo maana...
  15. M

    Movement for change ndo hiyoo inaanzia ndani ya CHADEMA from hero to zero

    Hivi wanasiasa wa upinzani wa Tanzania huwa wanapatwa na nini?? Kuna usemi kuwa ngoma ikilia sana mwisho upasuka. Siyo siri tena CHADEMA kinakufa. Hau ndiyo ile movement for change waliokuwa wanatuambia?? Huwezi kujenga chama ambacho kinaongozwa kwa matakwa ya watu fulani na kutaka mawazo yao...
  16. M

    Vyama vinavyopiga vita miradi ya gesi vinahofia kasi ya jk kukata kiu ya watanzania

    Kwanza tumshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kuliwezesha taifa letu kuwa nchi ya kwanza afrika kwa amani na utulivu kufuatia utafiti wa BBC kwa mwaka uliomalizika juzi. Hapa kuna kituko, baadhi ya wanasiasa wanatia aibu, Wanapinga kwa nguvu zote utekelezaji wa mradi wa gesi ambao...
  17. M

    Utapeli mkubwa wa uwekezaji waja tena kupitia wataalamu wetu wa bico udsm

    Kama kuna msemo sikio la kufa basi ni kampuni ya bico iliyo chini ya chuo kikuu cha dar-es-salaam. Kampuni hii kupitia mtaalamu wake dr chungu ndiyo iliyosimamia mradi wa mlimani city na kukiingiza chuo kikuu katika mradi wa kitapeli wa kugawa ardhi kwa wawekezaji kwa kuwapa eti miaka 5o...
  18. M

    Hongera dr. Harrison mwakyembe. Haya ndo walalahoi tunataka kusikia sio vinginevyo

    Leo hii nimepanda treni la mwakyembe kutoka mjini mpaka ubungo. Nimetumis muda mchache saana. Big up mwakyembe. Umenikuna saana. Kweli tanzania bado tuna watu wenye uwezo na weledi mkubwaa. Ahsante sana mwakyembe endelea kulitetea taifa lako. Huu ni ubunifu unaopaswa kuingia kwenye kumbu kumbu
  19. M

    Kipigo hiki kwenye udiwani ni funzo kwa siasa nyepesi

    Kwanza tumshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema kwa kuilinda nchi yetu mpaka sasa ni tulivu tu ingawa kunawanaotaka isitawalike. Pili nachukua nafasi hii kuwapongeza wana CCM kwa kuendelea kuaminiwa na wa Tanzania kuwapa ridhaa ya kuwaongoza. Kwa upande wa Upinzani ushindi wa kimbunga wa CCM...
  20. M

    Wasomi waonya chuo kikuu cha Dar-es-Salaam kutumiwa kisiasa

    Katika hitimisho la miaka 50 tangu kuanzishwa kwa chuo kikuu wasomi mbalimbali amesifu mchango wa chuo hicho katika masuala mbalimbali yanchi lakini wameonesha kutilia shaka baadhi ya wasomi wenzao ambao wamekuwa wakitaka kukichafua chuo hicho kwa kukiweka katika ushabiki wa siasa badala ya kuwa...
Back
Top Bottom