Search results

  1. N

    Etv feed channel on astra 4a

    wataalam msaada tafadhali,anayefahamu namna ya kufungua etv feed channel katika astra 4A @4.9E,natanguliza shukrani sana jumaatatu njema
  2. N

    Ses 4 @ 22w

    wataalam wenzangu jana nimebahatika kuipata ses 4 @ 22w kwa offset dish,na nkaona nilete kwenu wenzangu ili hata kwa muonekano tu tufahamu inavyokua,freq 11671 v 30000,
  3. N

    Nss 4 @ 22w cannalsat

    Jana nlifanikiwa kuipata nss 4 @ 22w kwa kutumia offset dish kama inavyoonekana pichani kwa kutumia 11671 v 30000
  4. N

    Nilesat, ses 5, amos 5 katika 6ft prime focus dish

    kwa bahati ndugu zangu leo nimebahatika ku attach picha ya setup ya NILESAT,SES 5,AMOS 5,katika dish ya ft 6, hiyo lnb ya rangi ya silver ya prime focus ku band ndo nnayopatia channel za nilesat kama dubai one,mbc nk,hiyo lnb ya chini yake yenye rangi nyeupe na mfuniko mwekundu,ndiyo napatia...
  5. N

    Nilesat eutelsat 7 w a eutelsat 8 wa

    Wataalam, nimebahatika kupata nilesat, 201, lakini nilesat tajwa hapo juu haziingii hata niki blind scan, nifanyeje, au ku yangu c nzuri? natumia offset dish ya 130cm x 120cm,ku ya ELSAT ya 0.3db na receiver ya strong technosat mpeg4 hd, Natanguliza shukrani.
  6. N

    Satellite receiver ipi yenye uwezo wa ku edit biss key?

    Wataaalam,ninashida na receiver ya mpeg4 HD yenye uwezo wa ku edit biss key ili niikamate vizuri PTV na nyinginezo,je receiver gani nzuri na bei gani? Pia hiyo receiver iwe na uwezo wa kuonyesha lnb to receiver connection status bar,yaani namaanisha kama ilivyo media com 930+,ukiunga receiver...
  7. N

    Fringe reception wataalam na wadau wote

    Wataalamu wa mambo ya digital. Masalaam kwenu sana na katika mambo haya ya digital kila siku msaada unahitajika,maana hakuna aliyezaliwa akawa anajua,lazima alipewa ufahamu. Sasa ndugu zangu nina mpango wa kununua offset dish ya 120cm kwa 135cm na high gain ku band ya dvb-s2 INVERTO BLACK...
  8. N

    Eutelsat 8'w,nilesat 7.3'w

    jamani wana fta wenzangu,kwa hili msaaada wenu tafadhali,nataka ninunue offset dish ya EUROSTAR 120cm kwa 135cm na BLACK ULTRA high gain ku band 0.2 dbw HD DVB-S2 mpeg 4,kwa ajili ya kupata satellite zifuatazo kwa pamoja, NILESAT 7.3'W[nilesat 102,nilesat 201,eutelsat 7 west A,eutelsat 8 west...
  9. N

    Astra 2f @ 28'e,nilesat 7'w,eutelsat 16'e

    Wataalam wenzangu,kwanza kwa hapa dar astra 2F @ 28'E na nilesat 7'W zinaweza kupatikana kwa dish saizi gani na ku aina gani?na kama kuna yeyote aliyewahi kupata zote hizo au mojawapo, aweke attachment ili tujifunze kwa mifano wataaaalamu,pili jamani huwa naweza kuipata amos 5 @ 17'E kila...
  10. N

    Yahsat @ 52.5'e na strong srt 4922

    ARSELONA,NYONDOLOJA na wadau wengine woooote wa masuala ya satellite dishes,kwa hapa dar hiyo satellite naeza pta kwa dish saiz gani na lnb gani ya ku inayofaa?pili naitaka receiver hiyo,je ntaipata kwa bei gani,ahsante
  11. N

    Amos 5 @ 17'e

    wataalam,niliwahi kuipata amos 5 kwa dish la Eurostar 6 ft kama miezi 3 iliyopita,lakini kwa sasa kila nikiijaribu haipatikani tena,setup ya dish iko sawa maana naipata leuters news ambayo pia ipo katika satellite hiyo hiyo,je optima wamebadilisha chochote wadau,msaada tafadhali maana natumia...
  12. N

    Yahsat @ 52.5'e

    wataalam habari za asubuhi,juzi nimenunua humax free hd mpeg4 receiver,na nina dish la futi sita Eurostar,nataka kuipata yahsat ndugu zangu,kuna yeyote aliyewahi kuipata kwa hapa dar?msaada wataalam,shukrani natanguliza
  13. N

    Intelsat 901 @ 18'w and intelsat 23 @ 53'w

    wataalam,shukrani kwa jitihada zenu za kutuelimisha wengine,kwa kweli jamiiforums tunajivunia sana sana,sasa jamani katika satellite hizo hapo mbili,anayefaham setup yake ya dish na jinsi ya kuipata kirahisi tafadhali jamani msaada,maana katika hiyo ya 53'w kuna channel ya sport max,natamani...
  14. N

    Thaicom 5 and apstar 2r

    jamani wataalam hapa jamvini,yeyote ambaye amewahi kupata mojawapo ya sat hizo hapo juukwa dish au zote kwa dish la futi 6 msaada tafadhali,na maelezo ya jinsi ya kuzipata kwa urahisi,na kama kuna attachments ntashukuru zaidi wataalam
  15. N

    Wataalam wa sat dish,oneni hii kitu

    wataalam,hii niliiijaribu mwenyewe na imekubali vizuri,hiyo c band ni ipo ARABSAT 5C @20'E,na ku band ipo SES 5 @ 5'E.katika hiyo ku band,congo tv naipata kwa signal ya 78%,na na katika hiyo c band,jsc sports,naipata kwa 76%,wiki hii ntajaribu tena maana nahisi kati ya hizo c band na ku...
  16. N

    Free tv channels from russia

    Kaka arselona na wana jamii forums wenzangu,msaada kwenye hili,tena msaada wa haraka sana,nimelekwa kwa mrusi mmoja hapa dar,anataka channels kutoka russia,ana euro star 8ft solid dish,receiver ya arisat mpeg4 hd,single solution lnb eurostar,ku bracket na fuji ku band lnb high gain,sasa...
  17. N

    ASTRA 28'E,msaada wataalam

    jamani wataalam msaada wenu kwa hii kitu,anayefaham jinsi ya kuipata astra 28'e,ninaitaka joy sport,mi nna 6ft eurostar solid dish na receiver ya arisat mpeg4 hd,je naweza kuipata,je dish yake waiset vp,nna maana iko karibu na satellite gan ambayo itafanya tuipate kwa urahisi?nko kwa mathiasi...
  18. N

    Dstv kila chumba bila decoder

    jamani wandugu kuna hii kitu inanikwamisha msaada tafadhali,kwa mfano una vyumba kumi,ukitaka kuweka tv kwenye kila chumba na kila tv iunganishwe na dstv decoder yake,lakini hizo decoder za dstv zote ziwekwe sehemu moja,na kila mtu aliyeko chumbani aweze kuchagua channels anazotaka remotely,nini...
  19. N

    Msaada wa macho tafadhali wataalam

    Wataalam,ni njia tiba ipi mbadala itanisaidia maana nataka macho yangu yawe meupe,maana yana rangi la brown,ila sina tatizo lolote la macho,nataka tu yawe meupe wandugu,au kuna athari zozote za kufanya hivyo
  20. N

    Wataalam,kuna anayefaham hii kitu

    wataalam ni kiu ya kutaka kufaham,hivi hizi satellites,YAHSAT 12 @52'E,ASTRA 2F @ 28'E na NILESAT 201 @ 7'W,naweza kuzipata katika dish ya ft 6?maana nimesikia mipira a.k.a ndimu huko ndiyo kwenyewe,msaada jamani,mi nipo kibaha maili moja,shukran kwa wana jamii forums,
Back
Top Bottom