Search results

  1. A

    Vifaa vya kufanyia grafting vinapatikana wapi?

    Tembelea maduka ya TFA (Tanganyika farmers association) utapata msaada mkuu
  2. A

    Uchaguzi 2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM

    Hjashawishi umma ukuelewe kwa sababu hizi, bado lissu atabaki kua mwamba wa kutuvusha katika hali ngumu hii ya maisha
  3. A

    Vyama vya upinzani, uchaguzi huu ungeni mkono mgombea urais wa CCM hamna mgombea wa maana wa kushinda kwenu

    Acha propaganda wewe kwa nini uwasemee wenzio wewe kukuruka na hali yako
  4. A

    Uchaguzi 2020 Acheni utani, upinzani hakuna mtu wa kuweza kusimama na Rais Magufuli kwenye uchaguzi mkuu Oktoba

    Naona wewe ni shabiki wa ccm na umeandika kishabiki utakua una masrahi na chama. kwanza kila chama kina haki ya kuingia kwenye mchakato wa uchaguzi, pia tambua kuwa wewe ukioa mke ukaona ni mzuri sana kuliko wengine bado kuna mwingine ataona wako ana kasoro . hivyo fanya uchambuzi unaoeleweka...
  5. A

    Uchaguzi 2020 Peter Msigwa awasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

    Huyu piter msigwa ni jembe tunamkubali ana IQ KUBWA SANA, huyu jamaa ni wa ukweli weka jina baba wewe tundu lissu wote majembe . nchi hii imewatenga sana watumishi wa umma miaka mitano wanatakiwa kufanya kazi kwa bidii kukuza uchumi wa nchi lakini maslahi yao na haki zao hazizingatiwi wapi na...
  6. A

    Rais Magufuli afungua mkutano Mkuu wa Chama cha Waalimu, Corona imeisha, Shule za Msingi kufunguliwa karibuni

    tumekwama wapi watanania watumishi wa uma bil bila miaka mitano hata mia nyongeza ya mishahara nyie mnapongeza tuuuuu du hatariiii Hao siku zoteee nawawashangaaaa cjui tume
  7. A

    Agricultural lime - Chokaa mazao

    Wasiliana na Kampuni ya Dodoma Cement, wanatengeneza chokaa mazao.
  8. A

    Kilimo na JATU: Je, kuna ukweli wowote?

    Siwajui, lakini jitahidi kufanya uchunguzi sana kabla ya kutoa pesa yako. Gharama za jumla za kilimo cha mahindi kwa wastani kwa ekari moja inawezafika hiyo laki sita na point, ila sijaona wao faida ya kujiendesha itatoka wapi na pia nina wasiwasi wa kufikisha hayo mavuno ya gunia 30 kwa ekari.
  9. A

    Mafanikio yako ni kama chachu

    Ni sahihi kabisa mkuu
  10. A

    The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

    Mkuu nasubiri nondo hizo kwa hamu kweli. Tafadhali naomba uni-tag!!
  11. A

    Walimu wamemtenga mwanangu na kutomfundisha hadi amefeli, naweza kuwachukulia hatua gani?

    Mwanao ana kibuti cha kutosha, na alipotengwa aliona sawa tu ndio maana hakuona haja ya kukwambia. By the way ni mtu mzima now mwache apambane na hali yake
  12. A

    Vifungashio kwa bidhaa za sabuni

    Asante kwa msaada wako
  13. A

    Vifungashio kwa bidhaa za sabuni

    Wakuu poleni kwa majukumu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kufanya biashara na mtu anayetengeneza vifungashio kwa ajili ya kupaki sabuni. Vifungashio hivyo ni pamoja na box za aina mbalimbali na plastic zenye ujazo kuanzia lita moja na kuendelea. Au kama unamfaham mtu mwenye...
  14. A

    Mashine bora sana na tunauza kwa bei poa sana

    Nami Nahisi hivyo
  15. A

    Mashine bora sana na tunauza kwa bei poa sana

    Fafanua ndg nami nazihitaji sana
  16. A

    Anzisha kiwanda kidogo nyumbani

    Kitabu ni kizuri nimekipenda sasa naanza kufanyia kazi kwa vitendo yale yaliyomo humo. Changamoto ninayoiona ni namna ya kupata materials zake. Leo nimezunguka mjin kwetu Nimepata baadhi vingine nimekosa kwenye maduka ya vifaa vya maabara . Naomba msaada wa kuvipata.
  17. A

    Wanaoifahamu Iringa DC, mumsaidie huyu mwalimu ajira mpya aliyepangwa huko

    Ukweli ni kwamba Pawaga hakuna baridi ni joto mkuu.
Back
Top Bottom