Search results

  1. TeamZitto

    Alichokiongea Zitto Kabwe huko Mwandiga, Kigoma - Machi 15, 2015

    Mwanamapinduzi na Rais wa zamani wa Burkina Faso Thomas Sankara alisema kuwa ili kuleta mabadiliko ya kimapinduzi ni lazima kuwa na hali fulani ya uendawazimu. Ila tusiufikirie uendawazimu huu wa kuokota makopo bali ule ukichaa mzuri wa kuamini katika mambo au misingi fulani na kuisimamia kwa...
  2. TeamZitto

    Zitto amjibu Ngeleja, Asema yuko tayari kuchunguzwa na kuhojiwa na Tume ya Maadili

    Tuhuma dhidi yangu zichunguzwe-Zitto Kabwe Katika kujitetea mbele ya Baraza la Maadili kuhusu tuhuma dhidi yake za kugawiwa mgawo wa fedha kutoka akaunti ya Escrow, mbunge wa Sengerema Bwana William Ngeleja alisema kuwa ni kawaida wabunge kupewa misaada na wafanyabiashara na taasisi za umma...
  3. TeamZitto

    TANGAZO: Matapeli waibuka upya -chukua tahadhari(zittokabwe foundation)

    *****MATAPELI WAIBUKA UPYA -CHUKUA TAHADHARI ******** Narudi tena, Sihusiki na mfuko wa mikopo unaotangazwa kupitia Mitandaoni. Sijaanzisha ZittoKabwe Foundation. Puuzeni watu wanaotangaza mikopo kwa jina langu. Nimejulisha tena vyombo vya dola suala hili ili kukamata matapeli wanaotumia jina...
  4. TeamZitto

    Hotuba ya Zitto Kabwe - Kigoma: 21 Desemba 2013

    HOTUBA YA MH ZITTO Z. KABWE - KIGOMA – 21 DESEMBA 2013 Leo nina furaha kubwa sana kwani baada ya safari ndefu na yenye changamoto nimerudi nyumbani kuwasalimu wananchi wenzangu! Na hii si salamu za kawaida bali nawasalimu kwa salaam za demokrasia, uadilifu, uzalendo na uwajibikaji...
  5. TeamZitto

    Tamko la Mwigamba la uchakachuaji wa katiba ya CHADEMA na ombi kwa msajili wa vyama kuchukua hatua

    Taarifa kwa vyombo vya habari Leo tarehe 11/12/2013, mimi Samson Mwigamba, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ninawasilisha malalamiko yangu kwa Msajili wa Vyama na ninaomba atoe mwongozo kuhusu mgogoro wa kikatiba uliopo ndani ya Chama kufuatia kipengele cha katiba...
  6. TeamZitto

    Ndugu Zitto Kabwe yupo Dubai kwa ziara ya Kamati ya PAC na kisha atakwenda Uingereza

    Naomba wana JF na Watanzania wote mjue kuwa katika nyakati kama hizi kuna upotoshaji mwingi sana. Zitto ameshasema yeye atafuata utaratibu wote wa chama na anasubiri barua yake tu ili aweze kujibu. Hivi sasa Zitto yupo Dubai kwa ziara ya Kamati ya PAC na kisha atakwenda Uingereza. Haya mengine...
  7. TeamZitto

    Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    TAARIFA YA ZITTO ZUBERI KABWE (MB) KUHUSU KUVULIWA NAFASI ZA UONGOZI NDANI YA CHAMA CHANGU CHA CHADEMA =========== Taarifa ya Dk. Kitila Mkumbo kwa Umma kuhusu Kuvuliwa nafasi za mamlaka ndani ya CHADEMA http://youtu.be/8HAPGQ0GkZA 8HAPGQ0GkZA[/U]]http://youtu.be/8HAPGQ0GkZA
  8. TeamZitto

    Nionavyo mimi: CHADEMA kuwa na mwenyekiti mpya tofauti na Mbowe ni hatari kubwa

    Unaongea upuuzi usio na maana mbele ya watu wenye akili,yaani wewe akili zako zinakutuma kuchagua mtu kutokana na kabila na eneo analotoka. Basi badilisha katiba ya CHADEMA ili mwenyekiti awe anatoka mikoa uliyo itaja wewe.
  9. TeamZitto

    Hotuba Rasmi Kambi ya Upinzani - Makadirio ya Mapato na Matumizi Wizara ya Fedha na Uchumi 2012/2013

    Full version inapatikana hapa HOTUBA YA WAZIRI KIVULI NA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI WIZARA YA FEDHA NA UCHUMI NDUGU KABWE ZUBERI ZITTO KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2012-2013 « Zitto na Demokrasia Highlights: Sakata La Rada bado bichi 2.5...
  10. TeamZitto

    Urais, Halima, Nassari na Kigoma

    Nisihusishwe na Matamshi na Makanusho wa Wabunge walokuwa Kigoma by zittokabwe...
  11. TeamZitto

    Mjadala wa Mafuta na Suala la Muungano

    New post on Zitto na Demokrasia Mafuta kuwa suala la Muungano tulikosea by zittokabwe Kila upande wa Muungano uchimbe Mafuta na Gesi Asili yake na Mapato yawe ya Serikali ya upande husika. Shughuli za Utafutaji kwenye vitalu vyenye mgogoro ziendelee mara moja Zanzibar...
  12. TeamZitto

    Chadema USA tour

    CHADEMA USA TOUR by zittokabwe Kesho Jumapili tarehe 27 Mei mwaka 2012 nitakutana na Watanzania wanachama na wapenzi wa CHADEMA wanaoishi Marekani. Mkutano...
  13. TeamZitto

    Statement ya Mhe. Zitto Kabwe : To the Ministers-Nothing to Celebrate, go to work

    Inapatikana URL: https://zittokabwe.wordpress.com/2012/05/05/to-the-ministers-nothing-to-celebrate-go-to-work/ Mawaziri, hakuna sherehe, nendeni mkawajibike! Juhudi za kurejesha misingi ya uwajibikaji katika utumishi wa umma zimeanza kuzaa matunda Baada ya Rais kutekeleza shinikizo la Bunge...
Back
Top Bottom