Search results

  1. piza

    JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

    Ukweli unauma siku zote,Mnyika yuko sahihi
  2. piza

    Bungeni: Mwigulu Nchemba achafua hali ya hewa!

    Kumbe tuna wachumi wazuri wasio msaada kwa Taifa.
  3. piza

    Mkutano wa Jangwani Mei 26: Polisi walumbana na CHADEMA!

    Napata shida kuelewa tafsiri ya neno maandamano kwa jeshi letu la polisi.Kiuhalisia ili watu wafike au watoke kesho uwanjani lazima waandamane,hasa watembea kwa mguu.
  4. piza

  5. piza

    Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

    Nimetafakari umhimu wao sijaona zaidi ya kwenda kuimarisha CCM na kugombana na Wakurugenzi.
  6. piza

    Nini tatizo la makarani ofisi za serikali?

    Wapendwa katika BWANA,naomba kuelimishwa kwanini makarani walio wengi katika ofisi za serikali kuwa wana nyodo na majibu mabovu kwa wateja,hayo yote nimeshuhudia mwenyewe mahakamani,idara za elimu na ofisi za PSPF kwa uchache.Wameniudhi sana.
Back
Top Bottom