Nini tatizo la makarani ofisi za serikali?

piza

Member
May 4, 2012
7
0
Wapendwa katika BWANA,naomba kuelimishwa kwanini makarani walio wengi katika ofisi za serikali kuwa wana nyodo na majibu mabovu kwa wateja,hayo yote nimeshuhudia mwenyewe mahakamani,idara za elimu na ofisi za PSPF kwa uchache.Wameniudhi sana.
 
Back
Top Bottom