Search results

  1. N

    Nimwite nani?

    uluba unauweza, majina kung'ang'aniza nasaha zitafakari, sihitaji chombeza kwanza timiza lengo, bila wakati poteza mlenga bila malengo, huwezaje kutimiza?
  2. N

    Nimwite nani?

    mpwa wakijiji, heshima natanguliza mpwao nipo poa, japo kwa kubangaiza vipi leo kulikoni, mbona unagugumiza? mlenga bila malengo, huwezaje kutimiza? manati umeshalenga, kigugumizi cha nini? yaachie asiliani, maswali mengi ya nini? kitoweo kibindoni, mengineyo magilini mlenga bila...
  3. N

    Live Ndani Ya Bongo Radio

    shukran!, nimesuuzika rohoni, wacha nidown hii becks ya mwisho nikapige mbonji, shukran sana!
  4. N

    Live Ndani Ya Bongo Radio

    dj mie naanza kula iceream sasa maana nimesubiri taarabu mbaka nimechoka, stimu inanzaa kukata-kata. "nahodha" plzzzzz
  5. N

    Live Ndani Ya Bongo Radio

    Dj becks zimepanda kilivyo na hisia zangu zinaniambia old school taaarabu ndio itakosha roho yangu, naomba "Nahodha" (ni bi shakila huyu au?) tafadhali
  6. N

    Live Ndani Ya Bongo Radio

    mzee fungulia mbwa, fanya hii iwe session ya request from JF..... ni wazo tuu. wacha mie niendelee mbaka wengine watakapo join...... Nipandishie krank ya chid benzino
  7. N

    Live Ndani Ya Bongo Radio

    i feel you, i feel you! yanii hiii full mzuka bundersliga (germany) wacha nifungue Becks yangu kabisaaaaa, thankx!
  8. N

    Live Ndani Ya Bongo Radio

    Aminia, yaani nakukamata chicha mbaya, full respect! babu ebu nining'inizie lile korabo la mheshimiwa temba na ray c (forget the name).
  9. N

    Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal

    mwanakijiji check PM
  10. N

    Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal

    my bad! i mess u the flow already. hili file "Kagoda Agriculture Ltd 07_Page_39.jpg" halikutakiwa hapo. badala yake lilitakiwa la "Kagoda Agriculture Ltd 07_Page_7.jpg". hivyo naliweka hapa
  11. N

    Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal

    ok, nauumwaga hapa wote, tutavumiliana utakuja vipande vipande. mwanakijiji huu mziki kuna sehemu una scratch (page zinajirudia rudia), hivyo ntafanza marekebisho kwa hilo, ikitokea nimeruka kitu, tafadhali nijulishe nirekebishe.
  12. N

    Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal

    Mkuu Mwanakijiji, ulikua unamaanisha mziki huu? confirm tafadhali ili niendelee kuushusha maana naona inakua ngumu kidogo, mbaka uingilie mlango wa uani.
Back
Top Bottom