Search results

  1. J

    Jaji Lubuva Asema Sheria Inawaruhusu Raia Mita 200

    Naomba kuuliza, baada ya kuondoka kwenye eneo la kupiga kura kwa mujibu wa sheria, ni utaratibu gani utakuwepo wa mimi mpiga kura kufahamu matokeo ya wagombea?
  2. J

    Elections 2015 Hatukai mita 200 kufanya vurugu Bali tunakaa mita mia mbili kuzuia

    je ukimaliza kuwapiga watanzania ..utaenda lala ikulu sio? na familia yako itaenda lala ikulu?
  3. J

    Elections 2015 Hatukai mita 200 kufanya vurugu Bali tunakaa mita mia mbili kuzuia

    mkuu hii si kwa ajili ya mbowe wala Lowassa, ni kwa ajili ya Tanzania yetu. Na hatuogopi kufa wala kuvunjwa miguu, mtavunja wangapi?
  4. J

    Elections 2015 Hatukai mita 200 kufanya vurugu Bali tunakaa mita mia mbili kuzuia

    Wakuu tupige kura hapa, kuonesha kuwa, kura tutazilinda kwa kufuata sheria. Hatutaogopa washawasha, wala risasi za moto, damu itakayomwagika itaendelea kuwalilia wamwagaji maana mtaimwaga pasipo haki, hamtawamaliza Watanzania, Wataendelea kuwepo. Hii ni nchi yetu sote. Bonyeza like kulaani na...
  5. J

    Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    Ningalikuwa mimi ni wewe, ningeomba ITV waende kwenye nyumba ya Mkuu wa majeshi ili watanzania wasikie kauli ya Mke, au watoto wake. wewe ni kaka yake sawa kabisa tunakubali, ila kauli yako inazidi kuongeza sintofahamu kubwa zaidi kuliko ilivyokuwa. Na yule sijui mke wako , anauliza kuwa "...
  6. J

    UKAWA nendeni Mahakamani kesho 15/10/2015

    Hawa ndio waleta vurugu, JK wanaemwendekeza na Vijibaraka kutoka Tume
  7. J

    Kikwete: Atakayekaidi na kubaki kituoni kulinda kura "HATAVUMILIWA"

    Nasi tunajua wanapokaa , wanapo ishi, piga tukupige..kama kawa, usifikiri sie wajinga
  8. J

    Taarifa nyeti: Mbinu za wizi wa kura hizi hapa - PART 2

    huyo BADO MMOJA anajifanya yeye anajua sana kuhusu CDF, eti tukae kimya. Tukiuliza kuna shida gani? eti kwanini usifuatilie toka zamani? maswali ya kijinga sana, jua kila jambo na wakati wake, na wakati umefika lazima tujue alipo, mtatisha wangapi?... Tutajua tu na utaona kama hatutojua, na...
  9. J

    NBS yasema Kingunge ni muongo, Thamani ya pato la taifa imeongezeka

    Acheni ujinga, hata mtoto wa chekechea anaona jinsi ela ilivyoshuka thamani, si bora uwe na pato la elfu kumi lakini lina nunua mahitaji muhimu kuliko kuwa na milioni isiyokidhi mahitaji. unashangilia neno trilioni unaona nyingi sana!!..mbona hazifanyi kitu cha maana.mbona deni la Taifa...
  10. J

    NBS yasema Kingunge ni muongo, Thamani ya pato la taifa imeongezeka

    kama kawaida yenu kusema watu badala ya kujibu hoja
  11. J

    Taarifa kutoka JWTZ kuhusu Jenerali Davis Mwamunyange

    Acha woga, Tunahitaji kujua aliko? Mkuu wa Majeshi, sidhani kama ni dhambi kuomba kujua aliko, na kama watanzania tuna wasiwasi, tunaomba watoe wasiwasi huo kwa kuonesha ukweli aliko na sio maneno. na ikiwa kuna uwongo wowote wa kimaelezo, watoa maelezo mtakuwa mmepotezea sifa mamlaka...
  12. J

    Taarifa nyeti: Mbinu za wizi wa kura hizi hapa - PART 2

    Mkuu wa Majeshi yupo wapi?...Tutaendelea kumuulizia mpaka tujue alipo...kama unajua tunaomba utusaidie kufahamu, hii nchi hata mki...ua ...hamtamaliza kila mtu, Watakuwepo watakao endelea kudai haki. Hivyo ndivyo Mungu aliumba Binadamu.
  13. J

    Nimegundua Dr. Slaa hakuwa na nia ya kuupeleka upinzani Ikulu

    Tunataka Mabadiliko na Tunaungana na mtu yeyote anayetaka mabadiliko, Hata Lowassa akibadilika kwa mtindo wa gia za angani, wana mabadiliko tutasononeka kumpoteza ila hatutobadilika. Hilo litambulike kwa viongozi wote na vyama vyote.
  14. J

    Usalama wa Nchi, Pimeni haya

    1.Katiba ya wanachi ni msingi wa kuliongoza taifa kuelekea kwenye maendeleo, ccm walizusha propaganda kuwa katiba pendekezi inataka kuuvunja muungano, ili kuwalaghai ninyi watu wa usalama ili mfikiri katiba pendekezi ni hatari kwa Taifa.Ukweli ni kwamba hoja ilikuwa sio muungano, ila vipengele...
  15. J

    Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    Lete hoja, ndani ya box au nje ya box aihusu. freemason unawajua, au umewasoma tu na kuwasikia?
  16. J

    Dr. Slaa amsababishia Magufuli kupoteza mwelekeo zaidi

    Aisee hii habari ya Riz kukamatwa china, na gesi yetu kuwa kama fidia, mbona inauma sana... Dr. slaa, uache ujinga
  17. J

    Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    R kwani ring ya Lowasa imekufanya kitugani? au woga tu?.. freemason unawajuwa?
  18. J

    Ugomvi wa Lowassa na Kikwete wawapumbaza Watanzania

    kama wamuona mgonjwa sana, Huyo ndiye tunayemtaka, ana uafadhali kuliko yeyote aliye ndani ya ccm.
  19. J

    Mgombea CCM aanguka jukwaani akiruka kichurachura!

    usije uka anguka ukatutia aibu!
Back
Top Bottom