Search results

  1. Miss Bantu

    Ayesha Curry: Kwanini sitongozwi?

    Mme wake atakua hampi maneno mazuri, mpaka anamiss kutongozwa
  2. Miss Bantu

    Kwa hali ya hewa ya Dar single tunapitia watat mgumu

    Kibaridi kidogo wanalalamika... wangeenda kukaa huko
  3. Miss Bantu

    Live sex shows kwa wazungu

    Hivi vitu visifike kwetu... mapenzi inabidi kuwa faragha
  4. Miss Bantu

    Dawa ya kuongeza nguvu za kiume yachochea wizi wa punda Afrika Mashariki

    Wanaume bana... wamemaliza mayai ya kwale wanataka kumaliza na punda
  5. Miss Bantu

    Kosa kubwa kukaribisha ukaribu kati ya mwenza wako na rafiki yako

    Hahha mi naona hamna tofauti.. zaidi atakuwa kakuonyesha marafiki wanafiki
  6. Miss Bantu

    Kosa kubwa kukaribisha ukaribu kati ya mwenza wako na rafiki yako

    Ila mwanaume hachungwi... hata asipomuona rafiki yako, atawaona wengine!!! Kikubwa kuaminiana tu
  7. Miss Bantu

    Uhamisho Wa Mtumishi Wa umma aliyepata ajira kupitia Secretariat utmishi

    Mkuu kwenye hiyo barua ya uhamisho utayoandika kwa katibu mkuu.. inachukua maximum muda gani mpka kujibiwa kama postive au negative!??
  8. Miss Bantu

    November 25 yagombaniwa, Efm/TvE vs Clouds Media

    Efm/tve -- Makonda -- Mlezi WCB Hapo naanza kuona clouds wanavyopelekeshwa
  9. Miss Bantu

    Faida na hasara za kupata mke au mume kutoka mitandaoni

    Mtakuwa mnajistukia mkiulizwa how did you two meet... it's awkward by the way!!!
  10. Miss Bantu

    4H Tanga wakati mwingine msitutangazie ajira zenu

    Bora nyie mmekula na kulala bure, chukulia kama vacation tu!!! Wenzio wanachoma hela, muda na resources kwa mambo hayo ya ajabu
  11. Miss Bantu

    Kuna usemi wanawake wanao eti "nilianza nae chini/nilimkuta hana kitu" then what?

    Ila wanaume wengi wanaheshimu wanawake wao waliowavumilia kuliko wale wakuokoteza baada ya mafanikio....
  12. Miss Bantu

    Current Location: Special Thread

    Its Monday [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
  13. Miss Bantu

    Wanawake wa mikoani wakija mjini wanakuwa kituko tu

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] anapambana na hali yake
  14. Miss Bantu

    Kenya: Mwanajeshi wa Uingereza afariki kwenye nyumba ya mpenzi wake, Wapelelezi wakuta dawa za kuongeza nguvu za kiume

    Mwanajeshi hana nguvu za kiume... mazoezi kila siku!!!! sasa wengine itakuaje [emoji33][emoji33][emoji33]
  15. Miss Bantu

    Wanaume wengi huwaogopa wanawake warembo na wenye sura nzuri kuwatongoza

    Wanaogopa gharama na majukum... hawana lolote
  16. Miss Bantu

    Hii Konyagi Kubwa Mpya mnaionaje wadau?

    Mi niifate mwenyewe huko, kaweather kanaruhusu!!!
Back
Top Bottom