Search results

  1. C

    Kilichoandikwa Mwananchi leo kuhusu ajira mpya zilizotolewa baada ya Mei mosi

    Katibu mkuu wa wizara ya utumishi amezikana hizo placement, waziri amesema tusubiri utaratibu. Source: Mwananchi la leo tarehe 12
  2. C

    HESLB wameanza kupokea appeals

    HESLB wameanza kupokea form za ku-appeal kupia loan officer wa taasisi uliyopo.
  3. C

    Usaili Mifugo, Kilimo na Uvuvi Hakuna Mchujo

    Habari. Tangazo la usaili utakao fanyika mikoani na Dar es salaam kwa wataalam wa mifugo, uvuvi, kilimo na madereva baadhi ya kada wameandika hakuna mchucho. Je wana maanisha ni usaili/ interview ya namna gani huo/hiyo? Asante.
  4. C

    Ajira wizara ya kilimo/mifugo bado kimya?

    Habari yenu wana Jf? Nashindwa kufuatilia bunge kutokana na mahali nilipo lakini nimepewa taarifa kuwa wizara ya kilimo imeisha soma makadirio ya matumizi(budget) 2013/2014 na imepitishwa na bunge.Je,wamezungumzaje kuhusu ajira za walio hitimu mafunzo astashahada na stashahada fani za kilimo na...
  5. C

    Wizara ya Kilimo,Wizara ya Mifugo Kulikoni?

    Habari jamani! Naomba kuuliza kuhusu ajira kwa tulio hitimu mwaka jana kwenye vyuo vya kati(diploma na certificate-fani za mifugo na kilimo) za wizara tajwa kwenye kichwa cha habari. Kwa yoyote mwenye taarifa naomba anijuze kinachoendelea. Asante.
Back
Top Bottom