Search results

  1. K

    Kosa gani litakufanya unyan'ganywe uraia?

    mtu anaweza kunyang'anywa uraia kama alipata uraia kwa kuomba na siyo kwa kuzaliwa.Uraia wa kuzaliwa[Citizenship by birth]haiwezi kunyang'anywa na mtu yeyote hata Rais wa nchi.
  2. K

    Gazeti la The East African na propaganda chafu dhidi ya Tanzania

    siyo mara ya kwanza Tanzania kuwa na meli katika ziwa Nyasa,zilikuwepo siku nyingi na zilitumika kusafirisha abiria na mizigo kati ya nchi ya Malawi na Tanzania.
  3. K

    Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    umefanya kazi nzuri na ya kitaalam,binafsi nakupongeza.
  4. K

    President Museveni writes to Tanzania's Magufuli, warms him to stop provoking Ugandans

    soma uelewe ndugu yangu,hapo ndiyo utaona tofauti ya kusoma na kuelimika.
  5. K

    Magaidi wa IS watishia kumuua Papa, Papa Francis azungumzia tishio hilo

    --------- Khomein alitangulia kabla ya Salman Rushdie mwandishi wa kitabu cha aya za shetani{satanic verses]
  6. K

    Kwa hili la TBA Mhe. Magufuli umekosea!

    nimeipenda bure comment yako
  7. K

    Rais Magufuli acha kumdhalilisha Kikwete

    Nchi ilifika pabaya,mwacheni Magufuli arejeshe heshima ya nchi.Watumishi na wananchi wamekosa uzalendo.
  8. K

    Rais Magufuli acha kumdhalilisha Kikwete

    Acha hizo we dadaa,umetumwa kutetea uzembe humu ?
  9. K

    Julius Mruta amemshinda Dr. Bana kwa hoja makini

    Njaa yake haikuanza leo,tokea mwaka 1991 alipokuwa anafundisha somo la siasa pale Zanaki S S jioni akiwa amechoka sana yaani sakala.Ungeona soli ya viatu vyake wakati huo jinsi ilivyo kuwa kwa kutembea muda mrefu kwa mguu na jinsi alivyo kuwa anatukana serikali kwa kutokuleta maendeleo kwa...
  10. K

    Diaspora washangaa Uhamiaji kuwapa uraia wageni, kunyima Watanzania

    Ndugu usichanganye mambo,hao diaspora siyo raia wa Tanzania hata kidogo waliisha ukana uraia wa Tanzania kwa kiapo,labda kwa kuwaheshimu tunaweza kuwaita,mf raia wa Marekani mwenye asili ya Tanzania.Usidanganyike hawana uzalendo hao,elewa maana ya kukana mf kumkana mama yako,kukana dini yako nk
  11. K

    Je serikali kuipa BAKWATA hati miliki ya taasisi zote za waislamu ni haki?

    kaulize Msikitini ama anzisha BADOWATA[Baraza dogo la waislam Tanzania] likadai mali kwa BAKWATA ama kwa serikari,
  12. K

    Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

    Wewe unadhani kama msumari ulipita juu yako ukakutoboa tube una uwezo wa kutoboa kila kitu?
  13. K

    Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

    inaonesha kisiki cha mpingo kimezama ndani ya MTIMBICHI,ila taratibu tu kitan'goka.
  14. K

    The Shocking Information against CHADEMA

    wewe ndiyo mbaguzi mkubwa,ina maana CDM hakuna waislam?,sitaki kuamini kwamba wewe unafikiri kwa kutumia kiungo cha kutolea uchafu.
  15. K

    Wageni wenye uraia wa Tanzania waondolewe kwenye utumishi ndani ya serikali

    Wewe ni mjinga katika masuala ya uraia,omba uelimishwe.Raia wa kuzaliwa,wakurithi na tajinisi wote ni raia wa Tz. Ili mtu apate uraia wa TZ (naturarized) ni lazima aukane uraia wa nchi yake na ale kiapo cha utii kwa serikali ya TZ na atimize masharti mengine kama kuishi nchini TZ kwa kipindi...
  16. K

    Siku Kenya na Uganda ikifukuza wahamiaji haramu, sijui Tanzania itawaweka wapi

    Ni kweli ni mawazo yako maana ni finyu mno.Afadhali wafukuzwe huko ili waje kuishi kwenye ardhi ya babu zao kuliko ardhi hiyo kuchukuliwa na wagen,kumbuka TZ hatuna uhaba wa ardhi kama majiran zetu.Nakushauri utangulize uzalendo kwanza,inaonesha Operesheni KIMBUNGA imekuudhi sana.Kama mawazo...
  17. K

    Masharti ya m23 kwa serikali DRC yaonyesha wana lao jambo

    kwahiyo bwana yako kagame na mas...hoga wenzio M23 ndiyo wenye ubavu?
  18. K

    Masharti ya m23 kwa serikali DRC yaonyesha wana lao jambo

    wewe unatumia kiungo gani kufikiri?
  19. K

    Naomba fafanuzi kwani tunakatazwa kuloweka mwiko.

    mwiko upi? sufuria ipi? kuloweka kupi? wewe ukiwa unaloweka mwiko ni lazima kushirikisha mama ntu mzima? ukisha songa ugali usikimbilie kukosha acha kwanza mwiko upoe.
Back
Top Bottom