Search results

  1. K

    Msaada: ITV, Channel TEN zimepotea ghafla kwenye Kodi yangu

    Wadau naombeni msaada maana nina kama siku 6 hivi channeli za ITV, TBC, EATV,Channel TEN hazisomi tena kupitia Kodi yangu. Kama kuna anayefahamu naomba msaada. Natanguliza shukrani!
  2. K

    Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    ....na baada ya kushika utaratibu wa kunyoa kwa shaver kila siku tumia BUMP PATROL. Ni after shave nzuri sana kwa kuzuia razor bumps kwa wale wenye sensitive skin. Nimeitumia kwa muda mrefu na haina madhara. Ni after shave.
  3. K

    Msaada: PC internet setup

    Pole kwa matatizo! Una tatizo lakini tunashindwa kukusaidia kwasababu hujajieleza vya kutosha. Jieleze zaidi: Model ya laptop?? na unapo attempt kufanya internet setup unapata kikwazo gani? Je ni wireless internet access inagoma au??
  4. K

    Msaada: Massage parlours Arusha

    Wadau heshima kwenu, Mwezi July natarajia kuanza kazi jijini Arusha kwa mkataba wa miezi 10. Nimejiwekea utaratibu wa maisha kiafya kuwa kila weekend huwa naenda gym na baada ya kutoka gym napitia massage parlour. Ni rahisi kupata gym kwani tuna network yetu nchi nzima wana-mazoezi wa gym...
  5. K

    Msaada kwa wale wataalamu wa solar power

    Hello Mr Suprize! Katika masuala ya solar ni sharti kuwa na nidhamu hasa katika matumizi. Bila shaka kwa mwaka mzima hukupata shida na sasa ghafula shida imeanza. Inaonekana ungependa kupata umeme usiku lakini haiwezekani. Ingawa hujaeleza system yako ilivyo, maswali yafuatayo yanaweza...
  6. K

    Wafanyakazi wa NMB Bank!

    Truth!! 100%! Wanaboa!(baadhi yao)
  7. K

    Nilifikiri anatania ....anakuja kweli!

    Uliharibu tokea mwanzo kwa kukosa kuweka mambo hadharani! Labda hofu ya kukataliwa! We mtu mzima. Unajua cha kufanya. Pia usisahau wajibu wako kwa familia yako. Huo ni nambari wani! Mengine yatakuja na kupita! ITS ONE OF MENS' DAYS! Si unakumbuka wenzetu hivi karibuni waliadhimisha WOMAN'S DAY??
  8. K

    Hongereni wanawake kwa siku yenu!

    365 -1 = 365 ????
  9. K

    Hongereni wanawake kwa siku yenu!

    "PRICELESS" in the sense kwamba hana bei! ni zaidi ya bei yoyote duniani. Naona unachanganya "PRICE" na "WORTHY"
  10. K

    Hongereni wanawake kwa siku yenu!

    Wapo watu ambao wanatenda mambo katika maisha yetu na tungetamani kuwalipa bei kubwa kuliko chochote duniani. Lakini hata kama tungesema tumlipe mwanamke kwa anayotenda, hakika hakuna bei inayolingana. A woman is simpy PRICELESS!! HAPPY WOMAN'S DAY WAMAMA wa ukweli na halisi!
  11. K

    Madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu

    Kwa jinsia ya kiume: SHAHAWA KUWA NZITO KAMA COLGATE siku utakaposex!
  12. K

    Mwaka unaisha waungwana! Mwenzenu sijatimiza malengo kabisaaa! Nijiokoe vipi kikao cha familia?

    Lara 1, today you have appeared really, I mean really civilized! Yani wengi wetu huwa hatufikirii thamani ya muda aisee! Everi dei maji ya dhaabu na kuparty kwa fujo! Hapa kilevi chote kishaniisha! na appointment la kesho nishaahirisha!!:confused2:
  13. K

    Hivi hii offer nitasalimika kweli.....!

    Duh! Wewe kwisha habari yako! Chezeya masaji wewe!
  14. K

    NIMEDHAMIRIA KUMTEKETEZA BOSI WANGU!!!!!!!!!! For GOOD!

    Nimebakiwa na vidonge viwili vya Cyanide. Usimchekee huyo bhana!!! :A S angry:
  15. K

    Ni Nani Anaweza Kumjua Huyu-MWANNAMBOKA??

    lara 1 we kiboko! Mbavu sina! ..."REDE ZA PEKU NDANI YA PICHU ZA TAIWAN"
  16. K

    Is ths theory true??

    Pengine ufafanue zaidi. Uzuri kwako unauelewaje?
  17. K

    jaman dunia imeisha

    Ikimbie zinaa mkuu! Shetwani hujivika vivutio vingi. Tumia busara yako kumuelimisha nini maana ya MAPENZI. Ni kweli katika umri huo ana mihemko mingi lakini anahitaji kuongozwa! Kuwa mzazi wa kweli. Just imagine ndo kabinti kako ka kuzaa kana-crush hivyo kwa nyang'au fulani and lina-take...
  18. K

    Naomba ushauri kutoka kwa wa dada tu.

    Be realistic! Mapenzi na hususan tendo la ndoa ni hisia. Wekeni hisia zenu pamoja na unatakiwa kumjali mwenzio kwanza. Inapendeza na inawezekana kufikia mshindo pamoja. Pia usihukumu matumizi ya "sabuni" kuwa ni upuuzi!
Back
Top Bottom