Tile haziingizi maji. Wewe ulitegemea zifanye kazi ya waterproofing ambayo sio kazi yake. Hayo maji ni dalili kwenye sakafu ya chini/ zege kuna ufa na unapitisha maji kutoka kwenye udongo. Undoa tiles zehemu husika ( kumbuka kuwa ufa unaweza kuwa mbali kidogo lakini maji yanapita sehemu ambayo...
Mkuu mmoja amesema hadharani mbele ya Mwenyekiti wa CCM kuwa kuna mawaziri wanaowalipa hao wanaotukans viongozi. Kuna waziri ambae ni mwanachama wa Chadema?
Amandla...
Sio wazo baya mradi tu wazanzibari nao waingie bara kwa hati za kusafiria. Nao wapewe muda wa kuishi bara kulingana na kibali chao cha kuingia nchi nyingine ya bara. Hii ni kwa sababu ardhi imekwisha Bara. Nchi iliyokuwa na watu hawafiki milioni 10 wakati wa Muungano sasa hivi tunanusa milioni...
L
Mbowe kasifiwa lini kwa kutoa pesa za mradi akiwa kama kiongozi wa siasa? Mwamba ni jina la heshima kama ilivyo Mama. Wanachama wenzake wanamuona Mwamba kama ambavyo nyinyi mnamuona Rais kama mama yenu. Halina madhara yeyote. Haulazimiki kutumia majina yote mawili.
Amandla...
Huyo ni mtoto wako. Wewe mhudumie kikamilifu hata kama DNA itasema vingine. Baba ni yule aliyemlea na sio aliyetoa mbegu. Huyu mtoto atakupenda sana na anaweza akawa ndio mfariji wako wakati wa uzee wako. Kitanda hakizai haramu hata siku moja.
Amandla...
Kama miaka sitini imepita lakini bado mnatatua kero za madawati, vyoo, umeme, dawa hospitalini, barabara, makazi bora n.k. basi hiyo inabidi mbadilishe hiyo sayansi.
Amandla...
Hizo kamera ni kwa ajili ya kuwaona wafungwa wanao toroka au watu wanaotaka kuvamia magereza? Mimi nadhani zingefungwa ndani ya magereza ili kuhakikisha usalama wa wafungwa na askari wanaowahudumia. Pamoja ni rahisi zaidi kuzuia utoro kabla haujatokea kuliko ukishatokea.
Amandla...
Asante Mkuu. Nimekuelewa lakini vinakera kwa kweli. Ndio maana mara moja moja ni vizuri kuviweka sawa kwa kuwakumbusha ingawa pengine wengine hatujasoma kama wao lakini kwa uelewa tumewapita. Kwa kweli ni educated fools.
Sijakuona muda. Kwema lakini?
Amandla...
Ndio maana sipendi majadiliano na nyie watoto wa juzi. Umri wako unajionyesha kwa kutumia x badala ya s. Na ni Environmental Impact Assessment sio Empact Assessment. Ingekuwa kila kitu kina mitigation plan basi hamna mradi ambao ungezuiwa kwa sababu ya athari yake kwa mazingira. Msomi unataka...
Ushahidi gani unaotaka? Picha ya Nyerere na waliomfuata wakisoma hiyo report? Ripoti ya Norad ilikabidhiwa kwa serikali ya Tanzania na hao wote walikuwa ndio viongozi wakuu wa nchi hiyo. The buck stops with them.
Amandla...
The Norwegian Stiegler’s Survey
Shortly after Tanzania’s independence Norway had fallen prey to the elaborate writings and sweet words of President Nyerere and had selected the country as one of its main recipients of development aid.
Despite having the policy of „self-reliance“ as official...
Kwa kuuliza anasumbuliwa vipi na kwa nini anasema libibi lina roho mbaya. Lazima kuna sababu. Ni kwa kumsikiliza tu ndio utajua tatizo wapi. Kama tatizo liko kwake atakuheshimu kwa kumsikiliza na kumtendea haki. Kama wazazi wako ndio wenye matatizo, atakuheshimu kwa vile atajua kuwa unamjali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.