Search results

  1. N

    Ndani ya denda kuna ujumbe mzito? (Don't talk just kiss!)

    Kila kukicha denda linashuka thamani na heshima yake inapotea..........leo unakutana na m2 kwene lifti gorofa ya sita mkifika chini mnapeana denda,,,,,,,,,,Kama denda ni real love hapo real love iko wapi?real love inajengwa ndani ya dakika 5?
  2. N

    Kwani ni kosa kumsimulia mume/mkeo juu ya mpenzi wako wa zamani?

    Haina maana na sio busara kuyazungumzia hayo otherwise iwe una sababu ya kutaka kukmkera mwenzi au umeyachoka mahusiano yako.
  3. N

    Mali Asili na Utalii

    Ni wajibu wa kila mtanzania kuhoji na kutaka kujua mstakabali wa rasilimali za taifa lao.Katika kufuatilia hayo napata taabu kujua ni nini nia yetu hasa katika hili. 1.TATIZO NI UWAZIRI AU UBADHIRIFU? 2.TATIZO NI UTAJIRI WA MTU AU NI JINSI ALIVYOUPATA?
Back
Top Bottom