Search results

  1. K

    NSSF waanza kuita watu kwa ajili ya oral interview

    Duh, kazi kweli ukiona umekosa jua Mungu amekuandalia sehemu nyingine.
  2. K

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tunaomba muweke huduma ya mtu akiwa na cheque apate cash, na siyo kumlazimisha mtu kufungua akaunt
  3. K

    Intervew NMB

    Acha ulongo, mwakolo
  4. K

    Intervew NMB

    Sikuhiz na hizo nterview za watu 10,000 n shida
  5. K

    FastJet Wamekataa Kutubadilishia Ticket

    Acha kumpa mwenzio ushauri wa kijinga.Masharti yoote yameandikwa kwenye tiketi, tatizo lenu huwa hamsomi hizo sharia za Fastjet.Mbona huwa hamlalamiki mnapolipa elfu hamsini kwa fast jet kutoka Mwanza kwenda dar au vinginevyo.Nafuu hugharimu bana.Wabongo tujali muda, tuache kulalamika.Woote...
  6. K

    FastJet Wamekataa Kutubadilishia Ticket

    Acha lawama za kijinga! kuchelewa ni kuchelewa tu.Kwa nini usiprint mapema kuepuka usumbufu? woote wanao laumu Fastjet ni wale ambao wana mambo ya kiswahili, hawajali muda.Ndege sio basi bana, ukichelewa dk 1 umechelewa.Big up fast jet kwa kutia displine watu kama nyie.Fuata na jali muda, acha...
  7. K

    Habari njema kwa watanzania wote wenye ndoto za kusoma nje ya nchi

    Watu wanatumia ujinga wa watu wengine kuwageuza kivuno.
  8. K

    Msaada: Ni king'amuzi gani bora kinanifaa hapa Tanzania

    Kwa taarifa yako hakuna king`amuzi kinachopatikana chanel zote.
  9. K

    Msichana nilie tarajia kumuoa ana mimba ya mwanaume mwingine

    Hata mimi nilishangaa sana baada ya kusikia hizo habari kwa sababu kila mwezi alikuwa ananiambia anapata siku zake.
  10. K

    Msichana nilie tarajia kumuoa ana mimba ya mwanaume mwingine

    Ningefanya hivyo kama baba yake ningekuwa simjui lakini baba yake namjua kwasababu ndio jamaa alie kuwa nae kabla yangu.
  11. K

    Msichana nilie tarajia kumuoa ana mimba ya mwanaume mwingine

    Hahaaaaaa haaaaaaa bora nikukute na mtoto na siyo upate mimba tukiwa katika mahusiano, mwanamke anabeba mimba mwanaume habebi mimba.
  12. K

    Msichana nilie tarajia kumuoa ana mimba ya mwanaume mwingine

    Nashukuru kwa comments zako ila mimi sikuwa kama hao wanaume unao sema wewe hapo juu.Mimi nilishataka hadi kuzaa nae ila yeye akasema anahitaji kusoma zaidi japo kuwa sasa hivi yupo kazini.Nilikuwa na full committment kwake kiasi kwamba nilifikia hatua ya kwenda kwa wazazi wake(baba yake tu ndio...
  13. K

    Msichana nilie tarajia kumuoa ana mimba ya mwanaume mwingine

    Kuna msichana nilimpenda sana tena sana tu. Nimekuwa na uhusiano nae wa karibu kwa takribani miezi 6 sasa. Lakini kabla ya kuwa nae nilikuwa na uhusiano nae sio wa kikaribu kwa muda yapata mwaka hivi. Huyu binti nilimpenda sana tena sana na nilikuwa na mpango wa kumuoa kabisaa. Katika...
  14. K

    Mambo usiyoyafahamu kuhusu biashara ya ngono kwenye mitaa na guest house za Manzese

    Mtoa taarifa,unasemaje Manzese inaongoza wakati hujafanya utafiti sehemu nyingine.Tena wakati mwingine inaonekana watu hawajui maana ya neno utafiti "research".
  15. K

    Tangazo la Airtel linawakejeli wenzao TIGO

    Mimi huwa naona mameneja masoko wa makampuni ya voda na airtel ni vilaza, wana subiri tigo waanzishe kitu na wao ndio wanaiga. Hawana ubunifu.
  16. K

    Jide kafunika mbaya ukumbi ulikuwa mdogo

    Mukubwa tuwekee picha na za shoo ya MwanaFA ambayo inaonyesha eneo kubwaa kama hizo za lady jaydee.
  17. K

    Toyota IST, Just arrived, Gold color low mileage only 56,000KM excellent condition, On sale,

    Hii gari nikama miezi mitatu sasa naiona ipo sokoni,au haiuziki?
  18. K

    Natafuta Nyumba ya kupanga ya vyumba viwili,self contain Tanga mjini.

    Hello wa ungwana,mimi natarajia kuwa tanga siku za karibuni.Nahitaji nyumba ya self contain ya vyumba viwili ya kupanga.Mwenye habari yeyote anaweza nitumia email kupitia joemchina@yahoo.com
Back
Top Bottom