Search results

  1. A

    Hello waungwana,

    Nilikua naonba msaada nifanye ufundi gani simu yangu iwake? aina Blackberry curve 8520 nilikua naingiziwa app na kwa kutumia comp na cm km yangu kwa kuhamishia ma file, mara nikadisconnect bila kumaliza, hadi leo haijawaka ina lode files bila kuwaka yote, nifanye nn?
Back
Top Bottom