Search results

  1. H

    JWTZ Wakanusha taarifa za kuibiwa Kifaru

    Hiko kifaru sio scraps?? Nilikuta barabara ya kisarawe kibaha, Jmosi pia nilipita nikakuta mgogoro. Jwtz wanataka watu wahame eneo la mazoezi. Masalia ya kifaru sijakuta.Ni deraya
  2. H

    Saed Kubenea ahojiwa na Kamati ya maadili ya Bunge

    Nadhani ni lugalo, kuna kampuni ya kichina ya transport ndani mle uzio wa mabati
  3. H

    Hotuba ya Kambi ya Upinzani kuhusu makadirio na matumizi Wizara ya Mambo ya Ndani

    HOTUBA YA LEMA HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, MHE. GODBLESS JONATHAN LEMA (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI YA UPINZANI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA HIYO, KWA MWAKA WA FEDHA 2016/2017...
  4. H

    Ni hatari sana mifuko ya Pension kuwekeza kwenye viwanda

    Boma chanika sehemu gani??nicheck
  5. H

    Dr. Hassan Mshinda, DG wa COSTECH...

    Katika uteuzi kuna taratibu, majina matatu yalienda ikulu lake likarudi. Costech ilioza ilihitaji changes watu wakarudishwa ktk kazi zao za awali vyuoni.
  6. H

    Mtanzania, Dr. Frannie ateuliwa kuwa Makamu wa Rais AfDB

    Huyu mnafiki aliingiza tz choo cha kike akiwa WB. Refer nelson mandela project arusha
  7. H

    Wale wenzangu na mimi mnakumbuka?(picha)

    Mwaka gani????
  8. H

    Kiini cha matatizo ya Zanzibar, Mapinduzi ya mwaka yaliyomwondoa Sultani

    Mohamed shamte alikuwa sultani??????
  9. H

    Ufutaji uchaguzi Zanzibar, nani nyuma ya pazia?

    Hata kama sio mwanasheria mbona nyingi ya sababu zilizotolewa na ZEC zina uwezo pia wa kuathiri uchaguzi wa wabunge na Rais wa Jamhuri? Ukisema kulikuwa na wapiga kura hewa, nani kathibitisha kuwa hawa walipiga tu kwa Rais wa Zanzibar na Wawakilishi? Mpiga kura hewa si aliingia mara moja...
  10. H

    Lowassa umetuangusha Ifakara kwa kushindwa kufanya mkutano

    Kesho majimbo 5, Morongo
  11. H

    VIDEO: Rais Kikwete azindua Uwanja wa Ndege za kivita Morogoro; Mkuu wa Majeshi ahudhuria

    Kwanini iwe tbc1 tu?? Kwa tukio kubwa kama hilo
  12. H

    Tigo kuipigia kampeni CCM, kuvunja vunja line zao

    Ndugu yangu mwana Mikumi, Mimi Jonas Nkya nimedhamiria kwa heshima kubwa kuwatumikia kwa vitendo bila kujali itikadi za vyama vyetu ili kwa pamoja tulete maendeleo ya Mikumi ya Kisasa. Naomba niamini niwe mtumishi wako kwa kunipa KURA yako ya NDIYO tarehe 25 Oktoba.
  13. H

    Regina Lowassa na ukabila kwenye kampeni

    Hoja sio ukabila hapo, ni kundi au jamii gani alikuwa anaongea nao. Mbona jpm anasalimia kiluga????
  14. H

    Kilosa mkiichagua tena CCM mkapime akili, si bure

    Wilaya hii ilianzishwa 1922 kabla ya nairobi na morogoro mjini. Wilaya iljumuisha ifakara hadi gairo. Leo ifakara ni manispaa na ina barabara za rami. Gairo ni wilaya. Kilosa hoi ni mji mdogo kama mikumi aibu kubwa
  15. H

    Mkutano wa Babu Juma Duni, Ruaha Kilombero - Oktoba 04, 2015

    Illovo nipigie picha tafadhali
Back
Top Bottom