Search results

  1. K

    Video Clip: Alichokisema Mhe. Joshua Nassari huko Kigoma

    Zitto is very strategically ila kuna sehemu nyingine anakoroga hapo hamna uhusiano kabisa kati ya alichokisema Nassari na kilichoandikwa na gazeti la mwananchi. Zitto tuliza nyago uraisi siyo kirahisi hivyo jipange sawasawa ushauri wangu tu huo. Unatudanganya na kucheza na vichwa vyetu kama...
  2. K

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Hakika hili nalo linaonyesha jinsi serikali yetu imeishiwa kifikra mpaka suluhisho linakuwa hilo.kama kweli ni mkono wa serikali basi pia hiyo damu itawafuata ni muda muafaka wa kusema bye magamba.Ni heri kufa kuliko kendelea kuishi katika hofu na udhalimu wa jinsi hii.
  3. K

    updates mkutano wa chadema saa saba vipi

    jamani kwa wana JF naomba mwenye uhakika atupe uodates za mkutano wa shukrani kwa mbunge mteule wa jimbo la Arumeru.hivi waliowekwa rumande wametoka.
  4. K

    Mbowe na tafakuri zake...

    Kwa wanaharakati wote na wapenda mageuzi nikimaanisha kizazi kipya cyo kijacho kama tulivyozoea kauli za chama tawala nikimaanisha wazalendo wa kweli na wapenda nchi yao Tanzania.tatizo tulilonalo sisi watanzania wengi bado hatujaweza kujivunia na kujitambua kama sisi ni watanzania halisi na...
Back
Top Bottom