Search results

  1. R

    Tumuombe Mungu kwa ajili ya viongozi wetu

    OMBI MAALUM: Nimeamua kuliweka hapa hili ombi kwa sababu kuu mbili; Yakwanza ikiwa hapa ndipo wana-JF wengi zaidi wanafika ukifananisha na majukwaa mengi na sababu ya pili ikiwa ombi langu linawahusu viongozi wa kisiasa hivyo kama mod ataona halistahili basi anaweza kulipeleka anakoona yeye...
  2. R

    Microsoft Office Net Meeting 2007

    Jamani wana- JF nahitaji msaada wa yeyote ambaye anatumia hii software. Nime-download na ku-install lakini ninatakiwa kuwa na ID na password nitapata wapi? Msaada tafadhali. Asante!
Back
Top Bottom