Search results

  1. A

    Waraka: Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta

    vijana mmekamatwa wengi kweli ngoja muende mahakamani
  2. A

    Waraka: Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta

    mzee naomba unirushie humu au kwa walio nao tayari tunaomba mturushie na sisi dromarihamisimndeme@yahoo.com
  3. A

    Waraka: Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta

    mkuu naomba unirushie hapa omarimndeme@gmail.com
  4. A

    Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    mimi naona huyu mtu anatania na kama ni hivyo na alaaniwe. kweli shukrani ya punda ni mateke nawaomba wadada wote mliomo humu kukipinga hiki kitendo cha kudhalilisha wasomi wanawake
  5. A

    Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    Mimi naona huyu aliyeleta huu uzi ametunga na si kweli, kama ni kweli basi huyu dada na alaaniwe na huyo sharobaro amtende mpaka awe anamla 0713...... kila siku mpaka sphincters zake zilegee na asiwe na thamani tena mbele ya wanaume. samaanini jamani nimeandika hivi kwa hasira kutokana na ujinga...
  6. A

    Msaada wa haraka madaktari, hili ni balaaa!

    naungana na mchangiaji aliyesema una psychic diarrhoea(tension diarrhoea) mara nyingi inakuwa ni self limiting inakwisha yenyewe once tension is over but septrin is the good choice for starting but am sure once you over with that meeting and diarrhoea will be the history. pole sana ndugu
  7. A

    Nimeanzisha kliniki ya kinywa na meno

    Hongera sana daktari naomba umjulishe vilevile mkurugenzi wako wa zamani ambaye yupo hapo njombe ili aweze kukutangazia biashaea yako kwa watumishi wa njombe, usisahau kuwaambia jamaa wa iringa vijijini ulikotoka ili waweze kujua ya kwamba kila kitu kinawezekana mkuu. once again bravo and god...
  8. A

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Kwa hili serikali haiwezi kukwepa, kwani tangu jana naibu wa mwanasheria mkuu wa serikali alitoa tamko na kusema tusiporudi kazini leo tutaona na leo waziri mkuu bungen ametoa kauli na kusema liwalo na liwe na tumeon kamanda wetu alitekwa na kutendwa kama ilivyooneshwa kwenye picha ,aluta continua
  9. A

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Kwa hili serikali haiwezi kukwepa kwani tangu jana naibu mwanasheria mkuu wa serikali alishapiga mkwara kwamba leo tutaona na leo PM bungeni amesema liwalo na liwe na ndiyo tumeshaanza kuliona kabla ya hata serikali haijatoa tamko juu ya huu mgomo wa madaktari. aluta continua
  10. A

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    nadhani hata naibu mwanasheria wa serikali anahusika kwa sababu jana alinukuliwa na VOA akisema madaktari wasiporudi kazini kwa kutii amri ya mahakama. Watasikia kesho nadhani hii ni mojawapo ya uthibitisho wa kauli yake. sasa watatujua sisi ni kinanani na sasa ndiyo wamechokoza moto hata na...
  11. A

    Ukweli kuhusu mgomo na madai ya madaktari Tanzania

    Mpaka kieleweke serikali imezidi usanii, hiki ni kizazi cha dot com huwezi kutudanganya
  12. A

    Mbowe ajibu tuhuma dhidi yake juu ya matumizi ya gari la KUB.

    hao ndiyo wanasiasa wa bongo wanataka kuwin public support wawapo majukwaani lakini tunatakiwa tuwe makini nao badala ya kushabikia tu kwan shetani umjuaye ni bora zaidi kuliko malaika usiyemjua.Tafakari chukua hatua
  13. A

    Viongozi mafisadi waliopo, maisha magumu kwa watanzania chanzo ni UDSM

    ni kweli kama umesoma elimu ya juu na hujapitia udsm ujue kura zako hazikutosha ndiyo maana mnakuwa na inferiority complex,ni sawa na daktari ambaye hajasoma udaktari wake muhimbili ujue atakuwa na inferiority complex na watu waliosoma muhimbili. kama mtoa mada alivyokuwa anamaanisha
  14. A

    Fomu za uamsho za kupinga muungano. Watu 500,000 watia saini

    kwanza wengi tunawabeba kwenye vyuo vikuu kupitia bodi yetu ya mikopo ya elimu ya juu ambayo si ya muungano, halafu mko wengi kweli mnaosoma kwenye vyuo vyetu vya bara,vunjeni tuone kama mtasomeshwa na serikali yenu
  15. A

    Fomu za uamsho za kupinga muungano. Watu 500,000 watia saini

    si muuvunje fasta mnasubiri nini9, kwanza mnatunyonya tu hatuwafagilii wala nini, kwndeni zenu huko
  16. A

    J. Kikwete + Salma Kikwete = $10,000 per diem, tax-free?

    hizo ndiyo faida za uraisi hata angekuwa slaa angefanya vivyo hivyo in other modified way cha muhimu na wew chapa kazi upate nafasi uchukue chako wewe na familia yako, nchi hii ni shamba la bibi
  17. A

    Kumbe umeme upo wa kumwaga?

    namkumbuka marehemu Edward moringe sokoine, enzi zake wahusika wote wangeishia magerezani
  18. A

    Wabunge EALA kulamba shs 17 milioni kwa mwezi

    aliyekutangulia si mwenzako
  19. A

    Mgombea wa TLP ananafasi kubwa ya kumshinda Komu Ubunge wa Africa Mashariki

    mh mi napita tu nitarudi baadaye, lakini tuwe tunaheshimu mawazo ya watu
Back
Top Bottom