Search results

  1. Mavurunza

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Kwanini wanamuita hero of Russia? Alifanya kitu gani cha kipekee?
  2. Mavurunza

    Baraza la Ulamaa latengua uamuzi uliovunja Ndoa ya Dkt. Mwaka

    Ni vyema utaratibu ukafuatwa. Huwezi kumuacha mke au mume kwa kumwambia sikuhitaji.
  3. Mavurunza

    Nina Tsh. milioni 200, niweke benki gani yenye 'Fixed Interest' nzuri?

    Kuna watu nyumba za urithi zimeuzwa hivyo kapewa mgao wake.
  4. Mavurunza

    Toyota town cruiser

    Body yake imekaa kisuzuki sana.
  5. Mavurunza

    Waliofariki ajali Morogoro wapo Wanandoa

    Mkuu unajua umbali uliopo kati ya check point ya Mikumi na Iyovi gari lilipopatia ajali?
  6. Mavurunza

    Waliofariki ajali Morogoro wapo Wanandoa

    Kwanini askari waliokuwa kwenye kizuizi cha Mikumi wasieleze hiyo IT ilipitaje pitaje hapo na abiria wanne?
  7. Mavurunza

    Chibu ashtukia chezo la "Salome" kuhusu mtoto

    Gonjwa hili limezua.....
  8. Mavurunza

    Wapi ntapata Sauna Jijini Arusha?

    Kwenye sauna huwezi kunyanduana. Joto la mle ndani linakufanya upumue kwa taabu. Labda kwenye steam room kunakuwa na joto la kadiri na mvuke kwa wingi.
  9. Mavurunza

    Wapi ntapata Sauna Jijini Arusha?

    Watu wengi naona wanashindwa kutofautisha sauna na massage. Kwenye sauna hakuna kutomasana viungo. Inshort mwili wako haugusani na mwili wa mtu mwingine kwa vyovyote. We unapata joto tu.
  10. Mavurunza

    Sijui kama ni mimi tu ndiyo nachukia mzaha (pranks) kutoka kwa vijana wa sasa?

    Wote wanawaiga kundi la Canada linaitwa Just for Laughs Gags. Pranks zao ni nzuri, haziumizi mwili wanacheza na hisia tu. Prank za wengine kama una tatizo la moyo inaweza kuwa mwisho wako.
  11. Mavurunza

    Kuwa introvert bila mambo haya ni Ukichaa

    Mi sijielewi, napenda kukaa muda mwingi mwenyewe nikifanya mambo yangu. Ila nikipata nafasi ya kujichanganya basi nakuwa sishikiki. Naongea balaa.
  12. Mavurunza

    Remitano wazindua sarafu ya Renec na kuanza kwa kishindo

    Hongera na pole kwa kufanya mining kivivu. Hope umejifunza jambo next time ukipata opportunity kama hiyo.
  13. Mavurunza

    Remitano wazindua sarafu ya Renec na kuanza kwa kishindo

    Muhimu kabla hujawekeza pesa zako, hakikisha una knowledge ya kutosha kwanza. Apart from that, tafuta free mining apps ambazo unaona sio scam na zina future nzuri uanze kufanya mining. Hizo ni almost risk free kwa kuwa huwekezi pesa yoyote.
  14. Mavurunza

    Remitano wazindua sarafu ya Renec na kuanza kwa kishindo

    Watu wengi wanaogopa kuibiwa hata sehemu ambayo haweki pesa, wanasema kama huweki pesa basi wataiba data, mostly data zenyewe ni msg za mapenzi tu. Hawataki kufanya utafiti kujiridhisha. Kwa ambaye amekuwa serious na hii programu ya mining toka mwaka jana ilipoanza hakosi mgao wa sh 200,000+...
  15. Mavurunza

    Remitano wazindua sarafu ya Renec na kuanza kwa kishindo

    Ukihitaji fursa zingine za kufanya mining kama Renec unaweza kunicheki PM.
  16. Mavurunza

    Kufanya biashara na Watanzania mtandaoni ni taabu sana

    Ukiona hivyo ujue kuna upigaji, kila mnunuzi anapewa bei yake kulingana na alivyokuja. Mteja mwingine anaanza kusifia bidhaa kwanza ilivyo nzuri kabla hajauliza bei. Unategemea atapewa bei sawa na wengine?
  17. Mavurunza

    Remitano wazindua sarafu ya Renec na kuanza kwa kishindo

    Kama walivyoahidi, Remitano wamezindua sarafu yao ya Renec. Sarafu ambayo ilikuwa ikipatikana bure kwa kufanya mining kupitia simu ya mkononi sasa ipo sokoni kupitia exchange yao. Renec iliingia sokoni ikiwa na thamani ya $ 0.1 lakini ndani ya saa 24 ilipanda thamani hadi kufikia $ 3+...
  18. Mavurunza

    Je, kulikuwa na ulazima gani Tanzania kuchukua wimbo wa Afrika Kusini na kuufanya wimbo wa Taifa? Kwanini tusingetunga wa kwetu?

    Afrika kusini ndio waliiga wimbo wetu wa taifa. Ni sawa na leo Burundi waufanye wimbo wa Diamond wa nyegezi wimbo wao wa Taifa halafu baadaye Tz na sisi tuufanye wa taifa.
Back
Top Bottom