Search results

  1. Mdau35

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Je, inaweza kuchukua mda gani mahamani mpaka divorce ikawa final?
  2. Mdau35

    House4Sale Nyumba inauzwa Kimara Mavurunza

    Nyumba inauzwa iko Kimara Mavurunza, bei milioni 280, kwa mawasiliano zaidi wasiliana nami kwa no 0789112777[IM][/IMG]
  3. Mdau35

    Mwenye utaalamu wa internet

    Nenda kwenye settings za simu yako then mobile network, then access point name then unachagua hiyo line na kuset APN ya mtandao husika, ukishindwa piga customer care wakutumie settings
  4. Mdau35

    Kuna haja ya kupima uwezo wa kuzaa kabla ya kufunga ndoa?

    Amrudie Mungu na afanye toba ya kweli atapata anachohitaji
  5. Mdau35

    Ukubali usikubali: Hakuna njia nyingine ya kuepukana na tamaa ya uzinzi/uasherati zaidi ya WOKOVU

    Hilo ndio tatizo kubwa la walokole wengi walio makanisani Leo, wanasahau kuwa Yesu alikuja kwa wenye dhambi ili wapate kutubu.
  6. Mdau35

    Ukubali usikubali: Hakuna njia nyingine ya kuepukana na tamaa ya uzinzi/uasherati zaidi ya WOKOVU

    Wote tumefanya dhambi na kupungukiwa na utakatifu ndio maana tunaishi kwa Neema, ni kwa toba yakila dakika na kila sekunde yaweza kutupa utakaso.
  7. Mdau35

    Ukubali usikubali: Hakuna njia nyingine ya kuepukana na tamaa ya uzinzi/uasherati zaidi ya WOKOVU

    Kuna zinaa ya mwili na ila ya kutokumwabudu Mungu so katika bibilia zinaa iko kwa mambo mengi sio tu kukutana na mwanamke
  8. Mdau35

    If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

    Mimi kumuachia Mungu sipo kabisa mana kama ni kweli aliumba mwanadamu na kumkabidhi milki yote ya duniani ni jukumu langu sasa kumiliki na kutawala yeye kazi yake iliishia hapo
  9. Mdau35

    If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

    Huenda kwa habari ya huko kuitwako kuweko au kutokuwepo kwa Mungu kuna mengi ya kutafuta kujua
  10. Mdau35

    Forbidden knowledge, why?

    Hapa itabidi nifatilie kwa ukaribu zaidi...
  11. Mdau35

    Nyumba inauzwa

    Nyumba ya kuishi mpya inauzwa wilayani Mwanga mjini. Bei ni maelewano, kwa mawasiliano 0784900530
  12. Mdau35

    Dawa ya chango la tumbo kwa watoto wadogo

    Tafuta mzizi wa ndulele chemsha mpe kijiko cha chai asubuhi na jioni. Pia umchue tumbo na mafuta ya nazi, unayapaka mikonini kisha unaipasha mikino kwenye jiko la mkaa alafu unamchua tumba taratibu na kiunoni.
  13. Mdau35

    Uji mzuri wa watoto wanaotakiwa kuanza kula, mchanganyiko mzuri ni upi?

    Asante sana kwa maelezo na uahauri mzuri
  14. Mdau35

    Uji mzuri wa watoto wanaotakiwa kuanza kula, mchanganyiko mzuri ni upi?

    Na kama sina microwave wala strainer, unanishauri nifanyeje.
Back
Top Bottom