Search results

  1. M

    Ufugaji Mbuzi wa kienyeji (Asili) kibiashara

    Hata kama kuna ukweli lakini kauli yako ni ya kukatish tmaa
  2. M

    Msaada: Mabinti hawa email zao zinafanana

    Hao wala sii wanawake , ni matapeli wa kiume ndo wanaokuandikia ww hizo e mail wakishaamdika wanachukua picha za visichana na kukutumia ili wakuteke vizuri. ni story ndefu. mimi walishanivaa lakini nilijawabaini baadae nilipokuta habari zao mtandaoni. " sii salama hao weka mbali na watoto.
  3. M

    Muhindi ajiua baada ya kumuua Mwalimu wa Shule ya Msingi

    hilo nalo neno mwanangu Jamatini za kuchomea maiti zipo.iweje huyu bwana apelekwe India
  4. M

    Tanzania yachafuka: Yatuhumiwa kwa kuua na kula albino

    Inawezekana wanaliwa na Mafisadi ndo maana tatizo hili haliishi
  5. M

    Mwalimu Nyerere, sensa na udini

    Uncle hapo umenena
  6. M

    Shehe Mkuu wa Dar awaambia waislamu 'Waache kiherehere'

    Aombe ulinzi wa polisi huyo shehe kwani hawa waislam jina hawapendi ukweli
  7. M

    Mtatizo haya ya udini nchini yanasababishwa na mambo haya tu!

    so uaposema kina Ndalichako wanafanya kazi kwa maelekezo ya viongozi wa kiroho na kikwete anaewateua hao watendaji anafuata maelekezo ya wakristo? Ponda kashtakiwa tu mnarukaruka vipi angeuwawa kama padri
  8. M

    Zanzibar: Imamu wa msikiti auwawa kikatili!

    Kama ni kweli basi hii itakua ni janja ya wauwaji walewale wa padri kujaribu kushawishi dunia kwamba ni wakristo wamelipiza kisasi, jamani tuweni makini kwenye hili
  9. M

    Waraka wa UAMSHO unaochochea machafuko Zanzibar

    mimi napatashaka kidogo juu ya hili, ukiongea na waislam juu ya hili watakwambia kua hao watendao sii waislam bali ni watu wenye agenda zao. Ok. Kama ndio hivyo mbona sioni kelele, maandamano nk ya waislam wa kweli kulaani mambo haya kama ilivyotokea kwenye ishu za kuchinja au dhamana ya Ponda...
  10. M

    Technology mpya bungeni

    hio idea sii kwamba hawaiju,hebu angalia wameweka viti vya kusinzia, mic ya kila mbunge,vifaa vya kurekodi mambo yoote( audio& video) na mambo lukuki ya kisasa ambayo hayapo ktk mabunge hata ya ulaya.je hili la ku-vote ndo walisahau? Subiri siku wapinzani watakua wengi zaidi ya ccm wataweka
  11. M

    Singida: Afande apiga picha za uchi na kupiga wake za watu

    Hivi kweli haka kabwana kwenye picha ni kigogo?
  12. M

    Mwanasheria Mkuu amekerwa na kauli ya Balozi wa Uswisi juu ya "Mabilioni ya Uswisi"

    Kamati ya kazi gani kwenye hili? Kama Zito kawatafunia kwa 90% wao wanataka nini tena. Tena cha ajabu wamekimbilia kukwea ndege kwenda uswis wakati hata hawajaenda kumwona zito kupata ushahidi alionao. Wadau si mmewasiki wakisema watakua na vikao vingi mpaka mwezi April, kaazi ipo
  13. M

    google tatizo lako kabla hujalileta hapa

    Hata huko ku google nako ni swala tusilojua jinsi ya kufanya. Kwani wewe unaona raha gani wenzio wakibaki mbumbumbu.wewe ulizaliwa unajua vitu vyote? Au baada ya kujua ku google ndo wajifanya mjaaaanja.
  14. M

    Mtoto wa kigogo akamatwa na dawa za kulevya huko China - Dr Slaa

    Kwani huyo anaejitaja mimi ninani? Story fek hii. Huyo mtu anaeweza kua kwenye msafara wa Jk halafu aje avujishe siri hilo haliwezekani kwani Ikulu hawapatikani watu wa aina hiyo . Kumbuka Sadam Huseni aliuwawa mafichoni akiwa na " Watu wake wa Karibu" na watu wa namna hio ndio Rais hua...
  15. M

    Kwa hili TENGA SIKUUNGI MKONO

    Tatizo letu wabonngo ni kusaini mikataba mbalimbali bila ya kuisoma vizuri.yawezekana kabisa mkataba wa voda ulikua hautoi mwanya kwa tim kuingia mkataba na kampuni nyingine kakini kutokana na njaa ilivyoibana vilabu vyetu hujikuta wanasain bila umakini. Sii michezo tu hata mikataba ya mikopo nk...
  16. M

    Sijawahi kuona mama mwongo na mnafiki kama huyu mjane

    Kageuza msiba kama mradi. Milioni 5 ni msingi tosha kwa mtu makini.kama hizo ameshindwa kufungua hata genge la nyanya basi hafai huyu !!
  17. M

    Nilikosa kazi ya Uhasibu serikalini kisa Dr.W. P. Slaa

    Labda umelinganishwa na kesi yake na mke wa mtu. Lazma utakua hufai
  18. M

    Wilaya ya Tunduru hali si shwari

    Ukiwachunguza hawa waliofanya hili zoezi utagundua kua hawana mashiko hata kwenye huo uisla wenyewe.Ni wanafki tu.
  19. M

    Gerala Hando wa Clouds Radio anajipendekeza kwa JK na CCM

    Hapa dawa ni kwa asiependa yanayoendelea basi na asipite juu ya hizo barabara. Na asipande treni za Mwakyembe. Acheni kujishaua.
Back
Top Bottom