Search results

  1. Mandown

    James Webb telescope, a cutting edge technology telescope to scan deep in space and bring images of events 13 billion years ago

    December 25 2021 NASA kwa kushirikiana na shirika la anga la Canada na Ulaya wamerushe Telescope yenye thamani ya $10 Million yenye Tekinolojia ya hali ya juu sana kwenda kumulika anga za mbali na kutupa data za anga za Mbali kuona matukia ya Miaka 13 Billion iliyo pita. Ina onesha kama upuuzi...
  2. Mandown

    Unazikumbuka Movie Za Mabroo...?

    Nakumbuka nilimtembelea ndugu yangu fulani, Tumekaa sebuleni mtoto kaenda kuleta TV kutoka chumbani kwa wazazi ( kumbuka vile vimeza vya matairi). Kumbe kwenye deki kuna mkanda bwana dogo si ka PLAY kujua ni mkanda gani aurudishe kwenye kasha lake :eek::eek::eek::eek:
  3. Mandown

    Kumbe kweli wamarekani hakakuwahi fika mwezini

    vita baridi vilihamia mwezini Miaka ya 1950 ambapa Urusi na marekani walikua wanashindania kufika mwezini. marekani walionesha live kukanyaga ardhi ya mwezini mwaka 1969. Weak leaks wamedukua video inayo onesha kua tukio lile lilikua feki!!!
  4. Mandown

    Ukikutana na gari yenye Engine hii, usisogeze pua yako!

    akili za kitoto kukimbizana ! Madereva makini wanaelewa taratibu barabarani
  5. Mandown

    Mayahudi wa Ethiopia waliorubuniwa kwenda Israel wapiga "takbir" waendelea kulalamikia unyanyasaji

    hapa kabla ya kutoa mchango wangu naona nimuene kwanza Mchungaji Mashimo au Nabii Tito nipate picha kamili juu ya wana wa Isarael na Taifa teule
  6. Mandown

    3RD JULY 1988 IRAN FLIGHT 655 ILIANGUSHWA NA WAMAREKANI HUKO GHUBA YA UAJEMI

    SIKU KAMA YA LEO MIAKA 31 ILIYOPITA MAREKANI ILIANGUSHA NDEGE YA ABIRIA YA IRAN IKIWA NA ZAIDI YA ABIRIA 200 KWA KILE WALICHO KIITA KUWA WALIDHANI NI NDEGE YA ADUI ILIYO TAKA KUWASHAMBULIA . HABARI ZA MZOZO KATI YA MAREKANI NA IRAN ZILIANZA ZAMANI SANA...
  7. Mandown

    Tiririsha ubaya wa Iran unaoujua wewe

    mbona haueleweki! wapo huko wanafanya biashara! sio wakimbizi. Sisi nguvu zetu tutaishia kuuza maharage Kenya, Msumbiji nk
  8. Mandown

    Tiririsha ubaya wa Iran unaoujua wewe

    kulaumu si kanakwambamba wapo desparate kwenda MAREKANI! Ni sawa na sisi huku kulaumu serikali za nchi za Kiarabu kunyanyasa wafanyakazi wa ndani HAINA MAANA KWAMBA TUNATAKA KWENDA ARABUNI!
  9. Mandown

    Tiririsha ubaya wa Iran unaoujua wewe

    mbona unazungumza kanakwamba Marekani ni PEPONI?
  10. Mandown

    Tiririsha ubaya wa Iran unaoujua wewe

    Terrorism nineno mtambuka siku hizi. Hezbollah and Hamas are freedom fighters just like ANC of South Africa was terorist organisation during apartheid. While Hezbollah are fighting along side Russia in Syria, ALQAEDA are fighting along US and Turkey. Meanwhile Kurds supported by US are fighting...
  11. Mandown

    Tiririsha ubaya wa Iran unaoujua wewe

    i think if Iran woudl be that weak, americk would have striked long age. Hate tukio lajuzi la malei kushambuliwa na Drone kuangushwa, Tayari wangesha furumusha Ma Tomhawk. Hebu angalia kule Syria, propaganda za chemical attack, jamaa hawajasubiri hata kukuche !!!
  12. Mandown

    Tiririsha ubaya wa Iran unaoujua wewe

    kaka Umemaliza kabisa !
  13. Mandown

    Tiririsha ubaya wa Iran unaoujua wewe

    hizi point zimeshiba sana
  14. Mandown

    Tiririsha ubaya wa Iran unaoujua wewe

    Media za magharibi zinauleble utalwala wa iran kama wa kishenzi na hawa"behave" kama taifa la kawaida. Imefika hatua Marekani imeweka jeshi la iran (IRGC) kuwa kundi la Kigaidi pamoja na vikwazo ambovyo hakuna nchi yoyote ulimwenguni iliwahi wekewa vikwazo vya levo hiyo (yaani Iran is...
  15. Mandown

    Iran: Shambulizi la Mtandao la Marekani halikufanikiwa

    Hapa naona mihemko y a kishabiki tu ! Point ni kwamba wamarikani wamedai wameshambulia mfumo wa komputer wa kujihami wa Anga wa Iran na Iran wamesema wamefanikiwa kuzuia !
  16. Mandown

    Irani yaishangaza dua

    Makombora yaliyo tumika kuidungulia hiyo Drone yamezaliswha Iran . (
  17. Mandown

    Tetesi: Marekani Kuishambulia Iran muda wowote kutoka sasa

    fuatilia vizuri!! Iran is not Syria !!!
  18. Mandown

    Israeli airstrikes killed 4 Syrian servicemen, left 6 wounded – Russian MoD

    they have striked Iran target and killed Syrian service men
  19. Mandown

    Mabeberu bana yani bora tu kuwa na IQ ndogo

    sasa unamlalalmikia nani?
Back
Top Bottom