Search results

  1. marksalewi

    RITA hawatumi majibu ya uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa

    Mwanangu ameliza Form Six mwaka huu na anatakiwa kujiunga na chuo, ili apate mkopo anatakiwa aombe akiambatanisha cheti cha kuzaliwa. Alikuwa na cheti cha kuzaliwa cha zamani ambacho alikituma RITA kwa ajili ya uhakiki lakini kilikataliwa kwa kigezo kuwa ni cha zamani hivyo aombe kipya...
  2. marksalewi

    Baadhi ya shule binafsi zimekiuka agizo la serikali kuwa na term mbili kwa mwaka

    Agizo la serikali ni kuwa shule za binafsi ziwe na mihula miwili kwa mwaka kama shule za serikali. Baadhi ya shule kama hiyo hapo chini imekiuka makusudi kwa kigezo cha darasa la saba. Lakini ada yao imekuwa juu mno kulinganisha na shule zingine.
  3. marksalewi

    Kimenuka jumuiya za kimataifa, Rais Magufuli hasomeki

    Nafikiri kwa Rais kukaa kimya ni silaha nzuri zaidi kuliko kuanza kujikombakomba kwa wanaojiona ni wakubwa. Sisi ndiyo wanaotuhitaji kuliko tunavyowahitaji wao kimalighafi. So mh. Rais komaa wasikuelewe. Wakija wenyewe unawapa masharti kama hataki aondoke
  4. marksalewi

    Kimenuka jumuiya za kimataifa, Rais Magufuli hasomeki

    Kwa hiki naona kuna kitu kinaendelea.
  5. marksalewi

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Dr.Slaa nilimuheshinu sana na kumpenda sana lakini kwa matamshi yake haya ya leo, nimejisikia vibaya sana juu yake. Kwa nn hituba yake imemlenga tu mtu mmoja? Inavyoonekana hayo aliyoongea yameandaliwa aje ayaseme ili kuwaaminisha watu. Pamoja na upendo wangu kwako ni lazima nipige kura ya...
  6. marksalewi

    Tanzia: Bilionea Kimory wa Arusha afariki dunia

    R.I.P mzee Anderson Mtui
  7. marksalewi

    Daktari: Mbasha hakubaka shemeji yake

    Tuwekee hiyo video ndugu wengine hatujaisikia
  8. marksalewi

    Hii sasa ni kali kuhusu Advocate Mwale

    Nyumba za kuishi (residential), majengo ya maofisi, magari ya abiria n.k. vinatakiwa kisheria kuwa na milango ya dharura. Hivyo sioni sababu kwa nn ofisi ya mwale isiwe na mlango wa dharura na pia ofosi ile ni kubwa ina vyumba vingi.
  9. marksalewi

    Natafuta A3 Printer

    Ofisi yako ipo wapi mkuu
  10. marksalewi

    Mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite aua kwa bastola Arusha

    Mbona nimesikia shamba alilonunua ni kwa ajili ya machimbo ya mawe na wakati wanafurahia walikuwa kwenye sehemu hiyo. Wakati furaha imezidi kijana akapandwa na mori ya kimasai aliruka juu wakati wa kutua akatua juu ya jiwe.
  11. marksalewi

    Natafuta A3 Printer

    Amani kwenu wana Jamii forum. Natafuta printer nzuri inayoweza kuprint karatasi za A3 na ya bei nafuu na wino uwe wa nje. Mwenye kufahamu mahali naweza kupata tafadhali. Nipo Arusha.
  12. marksalewi

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, February 3, 2015

    Toka bunge hili limeanza takribani wiki na nusu sasa hatumwoni naibu spika anayefahamu atujuze tafadhali.
  13. marksalewi

    Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Lipumba akamatwa na wafuasi wake, kisha waachiwa kwa dhamana!

    Polisi hii sasa sifa ccm wakiondo mtabakia na nani!!!!!? Msitumike acheniiiiii!!! Acha kupiga raia hata nyie mkishavua magwanda jioni mnakuwa raia. Msitupige jamanii. Mnatuonea kwani tumechukua cha mtuuuu! Au tumempiga yeyoteeee msifanye hivyo jamaniii!!!! Mungu anawaona...
  14. marksalewi

    Jukwaa la Wakristo lapinga Mahakama ya Kadhi kujadiliwa bungeni

    Wakristu hawakupanga wao siku za Jumamosi na Jumapili ziwe za mapumziko bali kilichotokea ni siku hizo kuangukia mwisho wa wiki hivyo ikawa ni mapumziko. Mbona Christmas inasherekewa siku yoyote. Kwani hiyo mahakama ya kadhi isipokuwepo Waislam wanapungukiwa na nn? Mbona wameishi vizuri na...
  15. marksalewi

    Epson L210 Printer Mpyaa na mitungi ya wino nje

    Ofisi yako ipo wapi hapa Arusha ndugu.
  16. marksalewi

    Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

    Jamani wanaume na wanawake wengi wanafanya uzinzi sana tu ushahidi wa hilo ni matumizi makubwa ya mipira ya kondom inayotupwa kwenye vyoo na utoaji mkubwa wa mimba. Ukitaka kujua ninachoeleza hapa kachunguze kwenye zahanati nyingi wagonjwa wengi wanawake ni wale wanaoenda kutia mimba. Funua ma...
Back
Top Bottom