Search results

  1. M

    OMBI:

    Kwa mwana JF yeyote mwenye nyimbo za Emmanuel Nkulila na mwenye roho nzuri ya kusaidia wengine naomba anitumie nyimbo hizo inbox. Usinitumie link tafadhali, nitumie clips. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  2. M

    Kila demu ananiambia ngoja niende uwani kwanza

    Wakuu naomba mnipe mawazo Ni hivi, mimi nilikuwa nafanya utafiti kujua ni kitu gani hasa msichana hukifanya muda mfupi kabla ya kumegana? Story yenyewe ni hivi, unamuita msichana kunako maeneo ya faragha, mnapiga story wee hata saa nzima. Sasa ukiwasilisha tu hoja ya kutaka mmegane halafu...
  3. M

    Alen na mabula kwa rushwa ni noma!

    Hawa jamaa ni watumishi wa benki ya NMB tawi la Maswa na wapo kitengo cha mikopo.Hawa jamaa hawakupi mkopo mpaka uwahonge.Kiwango cha hongo kinategemea kiasi cha mkopo unachoomba.Kwa formula fupi ya kimahesabu ni kwamba hongo ni directly proportional to mkopo.Mimi mwenyewe ni mhanga...
  4. M

    Tafadhali sana nipeni namba ya simu (Mobile) ya Prof. Muhongo

    Wana JF wenzangu ninaomba namba ya huyo jamaa ili nimuendee hewani kuhusiana na kukatika mara kwa mara umeme wa TANESCO huku kwetu mkoa wa SIMIYU.Yani wadau hali ni mbaya sana kwani umeme unakatika kwa wastani wa mara 4 kwa siku na ishara zinaonesha kuwa tusipokomaa hali hii itakuwa ya kudumu.
Back
Top Bottom