Search results

  1. Porsha

    Mpwa usije Mjini. Najua hutanielewa lakini ndo ukweli

    Aje kuwa mtanesco [emoji28]
  2. Porsha

    Waliokuwa wanakuwa wakwanza darasani na kwenye maisha bado wanaongoza?

    Kwa wale ambao wana uwezo kiakili genuinely, inamaanisha wanaweza kupambanua vitu kiutashi zaidi na kama wapo kwenye system ya uhakika basi wana nafasi ya kutoka zaidi. Mifumo ya nchi inachangia sana kukuza vipaji.
  3. Porsha

    Waliokuwa wanakuwa wakwanza darasani na kwenye maisha bado wanaongoza?

    Kuna watu vipanga darasani na wanafanikiwa na wengine sio vipanga darasani lakini wanafanikiwa na vice versa. Kwa kifupi kuna vitu vingi vya kuconsider when it comes to mafanikio ya kimaisha (pia mafanikio Ni subjective). Kuna watu wana akili lakini hawajapata opportunities za kuwapeleka...
  4. Porsha

    Restaurant gani au wapi wanapika chakula kizuri kwa Dar es Salaam?

    Brake point Kinondoni makaburini
  5. Porsha

    Kadri siku zinavyozidi kwenda uwepo wa Mungu unaonekana kuwa ni hadithi za kutunga

    Ningeappreciate zaidi kama ungediscuss hoja assertively, Unachofanya ni personal attacks na hazisaidii. Mungu angekuwa na upendeleo, wewe uliyekaa hapo unamtusi ungekuwa na privilege ulizokuwa nazo(pumzi ya bure, etc)? Kuhusu ‘Taifa teule’ Kama shule ilikusaidia utaelewa concept yake. Sehemu...
  6. Porsha

    Kadri siku zinavyozidi kwenda uwepo wa Mungu unaonekana kuwa ni hadithi za kutunga

    Tatizo letu wakina nani? Usicatch feelings, ongea facts.
  7. Porsha

    Kadri siku zinavyozidi kwenda uwepo wa Mungu unaonekana kuwa ni hadithi za kutunga

    Nitajie contradiction moja ya kwenye Bíblia
  8. Porsha

    Kadri siku zinavyozidi kwenda uwepo wa Mungu unaonekana kuwa ni hadithi za kutunga

    Kumjua Mungu ni hatua ya kwanza ya ‘self-discovery’. Ukishajua ulipotoka, kwamba haupo hapa kwa bahati mbaya(kama atheists wanavyodai) basi vitu vingi sana vitabadilika kwenye maisha yako. World view yako itabadilika na utaelewa kwanini vinavyotokea vinatokea. Haina ubishi kwamba ukweli...
  9. Porsha

    Kadri siku zinavyozidi kwenda uwepo wa Mungu unaonekana kuwa ni hadithi za kutunga

    Usichanganye dini na uwepo wa Mungu ndugu yangu. Ni ukweli usiopingika kwamba dini Ni moja ya mbinu za kuchanganya watu wasijue ukweli kuhusu Mungu. Hakika asilimia kubwa ya watu wanaoamini kwenye dini hawamjui Mungu wa kweli. Sitetei dini hata moja maana karibia zote ziko corrupt Bali natetea...
  10. Porsha

    Kadri siku zinavyozidi kwenda uwepo wa Mungu unaonekana kuwa ni hadithi za kutunga

    Kuna aina mbili ya “atheists” 1. Wale wanaojua ukweli wa uwepo wa Mungu lakini wanapumbaza wengine kwa manufaa yao binafsi. 2. Ignorant ambao hawajachukua muda wao kutafuta ukweli. Ikumbukwe kumuamini Mungu sio “blind faith” bali kuna vithibitisho lukuki kwamba kuna intelligent design behind...
  11. Porsha

    Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

    Kama mwenyewe anajipigia promo [emoji23][emoji23][emoji23]
  12. Porsha

    Whats wrong with Kanye?

    It goes deeper than that lakini ndio hivyo people have been blinded. We believe everything we are told without questioning. These people have their agenda to control the world and they are doing it so good with less than important things like social medias. We are obsessed with empty things such...
  13. Porsha

    Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    To watch online download 'tune in radio'. Search radio one
  14. Porsha

    Historia ya kweli ya maisha ya Sheik Ponda na Fareed ni muhimu

    Scary!! Everything is so obvious though
  15. Porsha

    Women and Freemasons

    Freemasonry is a part of illuminati. Ilikua ni brotherhood stuff lakn sasa wanawake wanaingia.lady gaga is an illuminati..
Back
Top Bottom