Search results

  1. M

    Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

    Hoja ya woga kwa waandishi wa IPP Media, inatoka kwenye kiini cha Mmiliki ambaye kagame ni shemejiye!!!!!!!!!!!! KWANI Mke mdogo(JACQUELINE NTUYABALILWE) ni mtusi. HILI HALIJULIKANI? NA WATUSI NI SAWA NA WAYAHUDI WANAPUMBAZA WATU AKILI. MTANDAO WA WATUSI HAPA NI MKUBWA MNO.
  2. M

    Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi (Jimbo la Segerea)

    Kuna mwanajamvi kasema kuwa haki na sheria ni vitu viwili tofauti na huo ndio ukweli!!!!!! Lakini kuna mwanazuoni aliyesema kuwa "chochote kinachofanyika gizani mwishoni kinatakuja jitokeza mchana kweupe" hivyo kama kuna aina yoyote ile ya kupindisha ukweli katika hukumu ni dhahiri itakuja...
  3. M

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Nadhani Lema amshukuru Jaji kwani sasa muda wa Ukombozi aliokuwa anausema miaka yote ndio unakaribia kwani Kifo cha CCM kitaanzia Arusha kwenye BY-ELECTION, kwani ARUMERU BADO WAKO MAHUTUTI NA ARUSHA NDIO BYE BYE!!!!!!!! HONGERA KAMANDA KWA KUTOKUWA MBUNGE WA MAHAKAMA AU RUFAA!!!!!!!!!!!!!!
  4. M

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Nadhani sheria huwa aiangalii gharama kwa nchi, lakini Jaji ndiye anatakiwa atumie busara kwa kuangalia hali halisi na mazingira yaliyopo. Huyu Rwakibarila katoka Dunia gani?
  5. M

    Je ni hadi lini tutaibiwa mlimani city?

    Kwa kweli naomba nisaidiwe au nitoe pole kwa wale wote ambao wameishaibiwa LAPTOPS zao pamoja na magari na vitu vingine vyenye thamani kubwa hapo Mlimani City. Swali la kuuliza je, wahusika au wamiliki wa Mlimani city pamoja na Kampuni yao ya Ulinzi wanatoa fidia kwa walioibiwa mali zao? Na...
  6. M

    Wachumi waipiga kombora Serikali mbele ya Kikwete

    Mie nadhani, kiazi kikuu ni Mkapa aliyebinafsisha hata viwanda vya kubangua korosho, wakati Jimbo lake la uchaguzi kwa kipindi chote la Nanyumbu-Korosho ndilo zao la Biashara!!!! Huyu mtu anajiita msomi na kudharau wapinzani kuwa ni wasomi uchwara na wachumi uchwara. Kikwete analoweza kufanya ni...
  7. M

    CUF Hawana Option Nyingine, ni Kujitoa Muafaka

    Hawa watu ni watu wasioaminika, na sikitika ni kwanini nyerere alim-trust karume na kumwondoa john okello? Lakini wanasahau kuwa pindi tukijitoa tu zenj haitaonekana katika ramani ya dunia, itabaki makunduchi, nungwi, bububu,mchambawima, donge, chake,gando n.k kwani kila sehemu itatangaza uhuru...
Back
Top Bottom