Search results

  1. M

    Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

    kikwete raisi mwenye demokrasia ya kweli.amewaacha wananchi na vyama vyote vya siasa wafanye mambo wanayotaka kwa uhuru wa kweli.Ni kiongozi mwenye fair play kwenye siasa.Amekubali yeye mwenyewe na serikali yake kukosolewa kwa kiwango kilichovuka mipaka.Hajali hata kama uhuru huo utasababisha...
  2. M

    Matokeo ya chaguzi za udiwani

    ndugu zangu wa dar ninaimaninanyi.kama hamuna uhakika wa maji ya kunywa.kama hamuna uhakika wa kesho mtakula nini,kama hamuna uhakika wa matibabu bora,kama hamuna uhakika wa elimu za watoto wenu,kama munazotaarifa za ufisadi zinazofanywa na makada wa chama tulichokiamini cha ccm.basi ninaamini...
  3. M

    Tujikumbushe Kauli tata katika kampeni

    kumbe mkapa alienda arumeru kutafuta ukoo wa baba wa taifa.bila shaka atakuwa amefanikiwa.labda baada ya matokeo ya ubunge anaweza kurudi na kuulizia wajukuu wa nyerere.
Back
Top Bottom