Kweli. Nenda Sao Hill kanunue mbao.
Vile vile pale Buguruni zile mbao sio treated kama wanavyo dai. Wanazipaka rangi kusudi zionekane treated wakati sio. Nenda kanunue mbao treated za kweli kiwandani.
Wazee wa Ngwasuma without a doubt wapo juu sana allround, sebene zauwakika na zimeenda shule. Lakini Akudo wanakuja kwa kasi ya ajabu. Nyimbo kama "Mapenzi yakowapi" na "Mama Venesa" sio zakawaida. Lakini bado awajaji prove, tuwape mda tu na tunaweza tukawa tunaongea mengine hapa.
Koffi enzi za Tchao Tcho alikua anafunika ulimwengu mzima, siku hizi ana-recycle tu album nyimbo zile zile.
Siku hizi sisikilizi sana kina JB, Werra au Koffi.
Ukiachia ma-commercial success kama kina Fally Ipupa, wakali wakweli ni kama kina Ferre Gola, hapo tunaweza kuanza kuongea.
Tulisha waeleza in business terms kwanini Songas aiwezi kununua mitambo ya Dowans, watu wakasema tunaongea siasa. Lakini as presumed, Songas wamerudi na jibu hilo hilo.
tk, huo ulikua mfano tu ambapo "Tatizo X" stands for tatizo tu na si lazma lifanane kabisa na hii situation ya ma generators.
Lakini kama itakua rahisi kuiongelea literally,
say Tatizo X is
Ata kama Dowans wakikwepa kumuuzia mitumba ya generator Tanesco kwakumuuzia Songas instead. Hilo...
Jamani naomba kueleweshwa kidogo. Labda nianze kwakutumia example say:
Kampuni A = dalali wa kuuza magari
Kampuni B = kampuni yaku azimisha magari (car hire firm)
Tatizo X = magari ya wizi kutoka Africa Kusini
Je kama Serekali imejaribu kununua magari kutoka kwa Kampuni A kwa maitaji ya...
Kweli there is more said without saying, kwanini ubaguzi tu. What should we think is behind all this.
Ameacha kujibu tuhuma zote zile alizo tupiwa siku hile, all he saw was ubaguzi. Sijui zile allegations zingine hazina umuhimu au ukweli.
hmm! Ndio tulitonya kidogo kwenye hile topic ya Dr kwamba a lot of news is coming thru and something was brewing. There was no need kubwaga hii kitu kwasababu ilikua out of topic kidogo.
Mambo ya wind yako mengi. Such as:
7.11.2007 - 02:30pm ET
Press release from: Barrick Gold Corporation...
Ni lazma kuitaifisha, na vile vile in the process ya kuitaifisha inabidi kuweka mkakati wa publicity campaign ulimwengu mzima kuonyesha mitambo inataifishwa kwa sababu ya kukiuka process na kutupa hasara. Na kuwathibitishia investors wowote kwamba kama tukipata mfadhili wamaana, anakaribishwa...
The issue behind this "war of words" is a matter of national interest (buying Dowans generators). We the people are the ones who are going to suffer in the long run if the underlying issue ( Dowansgate ) is hushed up under CCM party politics. Instead we need this national issue solved since it...
Watanzania wenzangu, hapa inabidi sisi wenyewe ndio tujisaidie kusudi ombi letu litendeke.
Nawaomba ndugu zangu hapa. Twendeni tuka zisake SHERIA NA KANUNI kwenye relevant authorities zote nchini. Ambazo zinaweza kuthibitisha uwezekano wa KUITAIFISHA hii MITAMBO.
Alafu tupeleke hizo sheria...
Nilijiandaa kwenda changindia hile topic ya Mwakyembe ana Kampuni lakini imefungwa. Hapa naona panafaa vile vile.
Mimi sijasomea sheria, lakini kwa akili tu ya kawaida na kuweka issue at hand kwenye miungoni mwa miiko ya "conflict of interest. Nimeshindwa kumuweka Dr atiani kwenye hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.