Wakoloni wa mwisho wa Tanganyika kwa sheria za kimataifa walikuwa Wajerumani. Waingereza walikabidhiwa kwa rehani ya UN. Ndiyo maana mwalimu alisaini mkataba wa OAU bila shaka
Walimu wazingatie taratibu za malezi ya watoto kwa mujibu ea taaluma yao. Usitoe adhabu ukiwa na hasira. Msiache jukumu lenu la malezi kwa watoto kwani in wajibu muhimu wa mwalimu kwa mtoto. Msiojua taaluma ya ualimu jiepusheni kucomment mjifunze zaidi
Vyama vya upinzani vitaitendea haki demokrsia vitakapo acha kuendesha siasa kama NGOs. Kila chama kumilikiwa na majina ya watu. Pia uvunjivu wa wazi wa katiba za vyama vyao kwa masilahi ya kundi Fulani. Jambo lingine kukosekana kwa mifumo ya kitaasisi ya kuandaa viongozi. Mwisho njaa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.