Search results

  1. M

    Huduma ya supa cheka, vodacom inawalaghai/inawatapeli wateja wake?

    Ni jambo la aibu kuwa wateja wa makampuni ya simu wanafikiri kuwa hizi huduma ni fadhila. Hizi sio fadhila, sana-sana zinaonyesha ni kwa kiwango gani tulivyokuwa tunavunwa kabla ya hapo. Kwa kila huduma inayotolewa hawa operators wanauhakika wa faida nono. Usifikiri ni fadhila, kwamba eti...
  2. M

    Huduma ya supa cheka, vodacom inawalaghai/inawatapeli wateja wake?

    Vodacom imeanzisha huduma ya SUPA CHEKA ambayo wanadai kuwa inakupa muda wa kuongea, SMS na internet bandwidth kwa saa 24. Cha ajabu ni kuwa unapojiunga kwenye huduma hiyo, bila kujali umejiunga saa ngapi, unatumiwa SMS kuwa utumie benefits hizo kabla ya saa 5:59 usiku. Ninajiuliza masaa 24...
  3. M

    Waislamu tukatae udini wa akina Ponda

    Amani bila kuvumiliana haiwezekani. tuna imani tofauti kwahiyo ni jambo la kustahiana na kuvumiliana. Kila dini inafundisha watu wake kwamba yenyewe ndio njia pekee ya kufika kwa Mungu. Mimi ninasema busara lazima itumike. Leo tuko hapa kwasababu tumeamua kupuuza misingi ya maisha ya amani...
  4. M

    Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

    Mimi ninafikiri Bw. Lusinde anasema kweli... alipanda jukwaani akiwa na jazba... ni kweli kabisa! Lakini ndugu zangu wakati muafaka wa kujua rangi halisi ya mtu ni au akiwa na "tension/pressure" au akiwa amejisahau. Hizi ndizo nyakati ambazo mtu hujisahau kabisa akasahau tabia za kuazima na...
Back
Top Bottom