Search results

  1. T

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Mmh hii kali sijui tunaelekea wapi? Kwa nn kila mt anamlaum mwenyekiti na katibu mkuu, ila ccm bado iko imara!
  2. T

    Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    mkutano wenyewe saa ngapi mbona wtu wako oka asubuhi, tunaomba update milyoko mbeya
  3. T

    Nape aita waandishi wa habari Lumumba kujibu mapigo ya UKAWA

    kasema nini nape tupeni habari mlioko dar
  4. T

    Marudio ya Kura za maoni Busega, Dr. Rafael Chegeni aibuka mshindi

    hongrea dr. chegeni kwa ushindi
  5. T

    Dr. Slaa kutikisa Shinyanga kesho.

    big up sana karibu kamanda kwani jamaa wameanza kuchonga sana
  6. T

    Spika Makinda ampiga Stop Stephen Ngonyani kumshambulia Dr Ulimboka

    inaonekana dawa za kienyeji zimemharibu kichwa "profesor uchwala maji mafupi"
  7. T

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo

    tumia link ya dullonet.com angalia sehemu juu imeandikwa live radio utasikia kutoka rfa ya mwanza
  8. T

    Malisa aandika historia saut

    Big up malisa nyota njema huonekana asubuhi,hongera sana
  9. T

    Mawaziri wa JK: Ngeleja na apartment ya $350,000

    Du kumbe uwazil deal kila mbunge aulilie maana unalipa kama watu miaka saba tayari wana mahekalu ,watanzania tutafika kweli?
  10. T

    Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

    Hongera jembe limebaki do niliogopa nilijua wanania ya kuliong'oa,Big up sana
  11. T

    Ratiba ya hukumu kesi za ubunge

    Kesi ya opurukwa mb meatu hukumu ni tarehe 4.5.2012
  12. T

    Sasa Rais afanye nini - Pinda anamrushia mpira naye hataki kucheza?

    Kesi ya oporukwa mbunge wa meatu hukumu tarehe 4.5.2012
  13. T

    Sasa Rais afanye nini - Pinda anamrushia mpira naye hataki kucheza?

    yes mwanakijiji This indicate that the ruling part government has failed,has no serous presdent who can analys issues on his government,how can his govn has eighty minister which according to mp are "total corupt minsters",and he ddn't even think about his country, he just pass air to air(Brasil...
  14. T

    Jimbo la Mtera limeingiliwa, eti huyu ni Diwani kwenye Jimbo hilo!!

    Kama ni kweli msimlaumu bure Lusinde, kwani hata madiwani wa kwao mnawaona walivyo? akili kichwani, kwani ndo vijana wa magamba wanavyotaka kupeleka taifa kwenye nchi ya ahadi.
  15. T

    Wabunge wa CCM mnawachezesha Watanzania "kwata" la akili!

    hapo kweli mmm umenena kwani yale yote ya huko nyuma mbona hayafanyiwi kazi,na bado wanaendelea kutuchezea akili,hawa ni wanafiki wakubwa!
  16. T

    Mawaziri wanaongoza kwa wizi serikalini - Deo Filikunjombe

    Huyu lukuvi vip? si asuburi watajwe kwa nini anataka kuwalinda,huwa wanamgawia nini?
  17. T

    Mawaziri wanaongoza kwa wizi serikalini - Deo Filikunjombe

    endelea kutujuza kila kitu mwitongo.
  18. T

    Wabunge wa CCM mnawachezesha Watanzania "kwata" la akili!

    hapo umenena kweli mkuu,kwani siku zote hawaoni kuwa serikali hii haiwasikilizi?,kila kukicha ni ufisadi tu.
  19. T

    Magufuli augua ghafla, alazwa

    Pole sana kamanda magufuri mungu atakujalia afya itatengemaa tu mpiganaji!
  20. T

    Prof. Baregu aeleza kwanini hakutumia Biblia kuapa

    ila inawezakana ni kweli, kwani dini nyingi siku hizi zimekuwa za kinafiki sana?Big up babu Baregu !
Back
Top Bottom