Search results

  1. V

    Ushahidi Mahakamani

    Ha ha ha ha haaa!uwiii,uyo shekhe Yahya nin
  2. V

    Lipi hupendi mpenzi wako afanye ... ? Mimi ni hili .. we je?

    Sipendi niongozane na mpenz wng,afu amkodolee mimacho mwanamke mwngne,nataman nimzabe vibao
  3. V

    Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    We nisubiri mi nakungoja
  4. V

    Endeleza yako hapo

    Don't follow follow me without any because-usinifuate fuate bila sababu yoyote You want me words-unanitaka maneno do you pot cry me-unanichungulia?
  5. V

    Tupia hapa: Jina la utani la mwalimu wako ulipokuwa xuli

    Kuna mwlm alikua ana2fundisha fizix,2likua 2namwita Bushmen alikua anatembea ka bushmen,mwngne chuchu konzi alikua ana maziwa makubwaaa,mwlm Malecela 2likua 2namuita babu kicheche,mwsho mwlm bichwa alikua ana bichwa kubwaa mwl mdogo.Kihonda Sec.Moro
  6. V

    Master key

    Ha ha ha haaa!vijogoo hao
  7. V

    Kweli kifo hakikwepeki,soma hapa!!

    Jamaa katembelewa na Israel mtoa roho za watu,akamwambia leo ndio zamu yako nimekuja kukutoa roho.Jamaa kamkaribisha vizuri,kampa chakula na kinywaji ambacho aliweka dawa ya ucngizi.Israel alipolala jamaa akakata jina lake lilikua mwanzoni mwa list ya majina akaliandika mwishoni.Israel alipoamka...
  8. V

    Roma amwaga sir nzito!

    Sasa hapa siri nzito iko wapi?mbona mnakuza mambo?
  9. V

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Kero yangu ni kuhusu wamachinga au wafanya biashara ndogondogo kuzuiliwa kufanya biashara zao.Serikali haina budi kuwaruhusu wafanye biashara zao ili nao wajipatie riziki ama iwapatie ajira..wanawakataza kufanya biashara wakati hawana ajira,je wakiiba?suala hili linanitia uchungu sana,na naomba...
Back
Top Bottom