Search results

  1. Mzee Mpili

    Naomba msaada wa ku-install windows kwenye toshiba portege M400

    Nina toshiba portege M400 inagoma kuinstall windows inaonesha ujumbe wa kutoonekana kwa windows install driver. Nikaweka windows katika hard disc yake kwa kutumia laptop nyingine windows ikakubali ila nikiiweka hard disc kwenye toshiba portege inagoma. Msaada wa kitaalamu please.
  2. Mzee Mpili

    Nafasi za Administrators-SUA

    Wadau chuo kikuu cha sokoine mbona nafasi za administrators hawaiti tangu tuombe mwaka jana? Kama kuna mwenye tetesi atujuze.
  3. Mzee Mpili

    Afisa tarafa 145 wataitwa lini kazini??

    Nakumbuka interview ilifanyika tarehe 4-10-2012 (written) iliyohudhuriwa na watu 500, kisha tarehe 5-10-2012 (oral) na ilihudhuriwa na watu 250 waliofaulu written. Je, hao 145 kati ya 250 wataitwa lini kazini?? Serikali iwe makini kuna ajira mpya za walimu 28,000 na kupandisha madaraja watumishi...
  4. Mzee Mpili

    Risasi za polisi huko mbeya

    Naomba kujuzwa risasi zilizofyatuliwa huko Mbeya zimelenga nini?
Back
Top Bottom