Search results

  1. B

    Jaji Mutungi ateuliwa kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania, achukua nafasi ya John Tendwa

    Bora tendwa wa kutishia kuliko huyo jaji mwenye sifa mbaya kabla hajaingia.
  2. B

    TOP TEN ya wasiohitajika kwenye Baraza jipya la mawaziri...

    WOTE HAO 10 WANAWEZA KUONDOLEWA ILA MMOJA TU WAJUA NAMSEMA NANI MAZEE.... WASIRA STEVEN! ..HUYU NDO MPISHI WA CHAMA AKIONDOLEWA NANI ATAIZINDIKA IKULU? ahadi akitolewa ntamtumia vocha ya bure aliyeleta hoja hii! anitafute hapa kwny blog!
  3. B

    Mabadiliko ya baraza la mawaziri, jk kuitisha bunge la dharura

    Watakaokosa uwaziri wataungana na wenzao kina karamagi, mramba, maana kelele za watanzania ni vyeo siyo mfumo! Ngoja tusubirie awalete wengne nao waibe vyakutosha!... Wawe akiba kushtakiwa kiukweli na kufilisi mpaka mfumo na ccm itakapotoka madarakani rasmi.
  4. B

    HELSB acheni Visa

    HESLB =8% ya mshahara uwe ulikopeshwa 0 OR 100, VYAMA VYA WAFANYAKAZI = 2%, KODI as you earn, PENSION.... BIMA,..N.K..., MTAISHIA KUTOZWA NA WENGI WA WAFANYAKAZI KAMA SI FISADI TANZANIA HUFA MASKINI- WENGINE WAKITEGEMEA KUJENGA NYUMBA ZAO NA FEDHA ZA KUSTAAFU, WENGNE HUFA PRESHA YAN MAWAZO...
  5. B

    Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

    zito ni mwislam na ameshaingia kujadili zile hoja za kipumbavu za udini, HANGAIKENI NA DINI ZENU HII NCHI HAITAKUWA SAUDIA WALA VATICAN HII NI TANZANIA NA HAINA DINI..........
  6. B

    Lema: Ikulu imenivua ubunge ; Ikulu yamjibu vikali

    poleni na raia wote wa malawi......... Kama ilivyo kawaida ya afrika tumsubiri mdogo wako.............
  7. B

    Lema: Ikulu imenivua ubunge ; Ikulu yamjibu vikali

    nani asiyefaham kuwa ni hofu ya ccm dhidi miaka 5 ya lema!!!!!!!!! Mana ameziba mianya ming ya ufisadi wao arachuga!!!!!! Nafikiri lema ndiye mbunge anayeogpwa zaidi tanzania kwa ujasiri wake!!!!!!!!!!
  8. B

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Tusisahau kumwombea MBUNGE WA ILEMELA HIGHNESS NA MWENZKE WA UKEREWE! WAKTI TUKIENDELEA KUSHEHEREKEA USHINDI MNONO WA CHADEMA ARUMERU!.,,..,....PEOPLES.....,.......
Back
Top Bottom