Search results

  1. chris n

    CUF wakanusha wizi wa fedha. Wadai ni kelele zinazolenga kuwaondoa kwenye mstari...

    Sio kosa,Vp kuhamishiwa account ya mtu binafsi kabla ya kutolewa,kwa nini wasingetoa direct kutoka hiyo account ya vhama ya wilaya bila kulazimika kuzitransfer kwa mtu binafsi? Na km ilikuwa ifanyike hivo, kwa nn hazikwenda moja kwa moja ktk account za viongozi wa Kitaifa.
  2. chris n

    TTCL 4G siyo ya Mchezo Mchezo...!!!!!

    Halotel ni Baba yao kwa vifurushi,Japo bado Wapo Kwenye 3G, 1500 = 1.2 GB
  3. chris n

    CUF wakanusha wizi wa fedha. Wadai ni kelele zinazolenga kuwaondoa kwenye mstari...

    Bora ruzuku zifutwe, tuone km watu wataendelea kung'ang'ania ofisi za vyama
  4. chris n

    CUF wakanusha wizi wa fedha. Wadai ni kelele zinazolenga kuwaondoa kwenye mstari...

    Kodi zetu zinaliwa na wajanja Jamani,hadi inakatisha tamaa kulipa Kodi. Kwa nini zipite account ya mtu binafsi? Kwa nini zitolewe zote kwa wakati mmoja au mfupi?
  5. chris n

    Shamba la mihogo kunyauka

    Nauliza, Shamba langu mihogo yenye urefu wa futi nne inanyauka na mvua zinanyesha. Ni ugonjwa gani huo?
  6. chris n

    Korti Kuu Arusha yashindwa kutoa uamuzi, mbunge Lema arudishwa rumande

    Wewe hujui kusoma? Km hakuna ushindi,huwa hakuna sababu ya kukatiwa rufaa. Inaonekana walishinda na Ndo maana rufaa inakatwa Mahakama ya rufaa.
  7. chris n

    Makubwa yafichuka Faru John. Magari 15, watu 56 walishiriki kumhamishia Grumeti

    Pm hawezi kukurupuka kama unavodai, alipewa information na inafanyiwa kazi, na utaratibu wa information sio lazima iwe positive.
  8. chris n

    Tamko la Zitto Kabwe kuhusu madeni anayodaiwa, mshahara na mali alizonazo

    Uko sahihi, Mshahara kazi yake ni ubunge, na ubunge kazi ni kuwatembelea wapiga kura na kuwawakilisha Bungeni , sasa Km mshahara wa hiyo kazi upo,posho zingine kubwa hizo ni za nini? Hazikatwi hata kodi!!!
  9. chris n

    Waziri Maghembe afafanua kuhusu Faru John, asema mchakato ulifanyika kabla ya uteuzi wake

    Mh. Maghembe, amefafanua kuhusu Faru John, Mchakato ulianza Mei 2015 na kukamilika 08/12/2015 kabla ya uteuzi wake uliofanyika 28/12/2015. Tax Azam two
  10. chris n

    Kweli Magufuli anataka kuifufua ATCL, ila hii "kachumbari ya ndege" anazonunua inatia mashaka

    Ushauri mzuri lakini umechelewa, umeutoa wakati tayari maamuzi yameshafanywa na mikataba imeshaingiwa nadhani. Km bado, better wazingatie ushauri wako mtoa Post
  11. chris n

    Leo Kubenea Anamshangilia Zitto!!??

    Kwenye Siasa hakuna adui au rafiki wa Kudumu, so usishangae Tafadhali
  12. chris n

    Nimemsikitikia sana huyu kijana kwa kukosa mkopo

    Kombi iwe yoyote, Yatima ni Yatima tu
  13. chris n

    Nimemsikitikia sana huyu kijana kwa kukosa mkopo

    Dah, kweli inasikitisha, Mwenyezi Mungu, wape hekima watoa Mikopo wawaangalie vijana hao
  14. chris n

    Pengine sababu ya kutumbuliwa DCI Diwani Athuman ni hii....

    Hakuna uhusiano hapo, kesi za Takukuru wanapeleleza wao wenyewe, DCI anaingiaje hapo? Takukuru,DPP then Mahakama
  15. chris n

    The CITIZEN: 70% ya makusanyo hulipia deni la taifa, 30% uendeshaji serikali na maendeleo

    Unajua tatizo la Wabongo tunakurupuka! Sasa kams jambo limetamkwa na kiongozi wa Juu, gazeti likiandika kutuhabarisha ambao hatukuwepo lina kosa gani? Vzr umemjibu
  16. chris n

    Jacqueline si mtoto wa Prof Ndalichako, asihukumiwe bila hatia

    Hata angekuwa mtoto wake. Km ana haki ya kupata anatakiwa apate
Back
Top Bottom