Search results

  1. B

    Shaka: Tulikotoka ni kuzuri, tuliko ni kuzuri zaidi, tunakokwenda kila mtu atafurahi zaidi ya leo

    Tumetoka pazuri kwenye uhakika wa umeme, sasa tuko pazuri zaidi penye mgao wa umeme!
  2. B

    Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

    Aliyefukua box za vigae ili kupata fuko LA hela ni jipe? Je angefanya kazi zote kwa mpigo amdhibiti magige na hapohapo afukue fuko la hela?
  3. B

    Huyu member anayejiita UMUGHAKA anatakiwa apewe tuzo ya utunzi wa hadithi

    Vile umughaka alivyomfanya mzee makono.
  4. B

    Sababu zipi zilikupelekea ukawa shabiki wa hiyo timu yako ya sasa pale Uingereza?

    Kama ujuavyo wabongo wengi tunavutiwa na maniga wanaokipiga ulaya, mie bana world cup 2002, nilikuwa bega kwa bega na Senegal wakiwa na star wao mtukutu ostaz el haji diof, nilvutiwa na jinsi walivomtoa nishai bingwa mtetezi, sasa Liverpool walivomsaini yule kiboko ya wazungu basi tangu siku ile...
  5. B

    Naapa kujiua

    Ukifika huko wasalimie miamba wa tz, msalimie mwl nyerere, msalimie nkapa na dk hayati magufuli.
  6. B

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Vile umughaka alivyomfanya mzee makono
  7. B

    Haya madini yanafanya kazi gani kubwa, mpaka kupewa thamani kubwa?

    Kiwe na matumizi nazani umeweka kazi ya hayo madini na ni nadra kupatikana
  8. B

    Haya madini yanafanya kazi gani kubwa, mpaka kupewa thamani kubwa?

    Hayapatikani kiurahisi ndo thamani yake kubwa inapokuja
  9. B

    Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

    Sisi polisi hatuwezi kuhangaika na mpumbavu anayeshoboka na wake za watu, yaani ni sawa na kibaka akaibe kwenye kibanda cha wauza petrol, wakimpiga kiberiti sie hatuwezi kubugudhi wauza petrol!
  10. B

    Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

    Akichepuka Ila asizae nje ni ruksa tu eti?
  11. B

    Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

    Kalyinda ni mtoa marinda
  12. B

    Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

    Katibu alipaswa kufahamu mke wa mtu ni sumu, kuua ni kosa kisheria lkn kwa hili la masanja, familia ya katibu na vyombo vya sheria wanakuwa wazito kumpambania katibu make ni kama kifo alikitafuta kwa kujitakia, pengine wa kushikilia bango kumtia hatiani comedian, wanajaribu kuvaa viatu vya...
  13. B

    Ngoja tuone kama Saudi Arabia itaendeleza uthubutu iliyouashiria kwa kugomea matakwa ya Marekani

    Musaba na watch hundred wapo tayari kuchimba mafuta mengi bila kulazimishwa why biden anahangaika na huyu mwarabu wa Saudi?
  14. B

    Hadi huruma, wanajeshi wa Urusi wanavyohangaika kuhamisha majeruhi kutoka Luhansk

    Ngoja warusi wa buza waje wakwambie babu yao hajatangaza vita kamili
  15. B

    Msaada: Maumivu ya koo upande wakulia wakati wakumeza mate au kugeuza shingo

    Sie huku bushirombo hata mafangasi huwa tunayaita mabakiteria
  16. B

    Msaada: Maumivu ya koo upande wakulia wakati wakumeza mate au kugeuza shingo

    Sio kansa wala usiogope hao ni Candida bacteria umewazoa kwenye eiza madenda au mauvinza, so piga vidonge vya flucunazole ikiambatana na ceptrin kwa muda wa wiki 2 kila siku kidonge kimoja kimoja.
  17. B

    Rais Samia ana hali mbaya kuelekea 2025, Wana-CCM wanatamani wapinzani wapewe nchi. Anaweza asipate hata 30% ya kura

    Mitano tena kwa samia, kura zikipelea tunajazilizia za maruhani.
Back
Top Bottom