Search results

  1. E

    CHADEMA na ACT-Wazalenda, wapeni Shangazi Fatuma Karume na Maria Sarungi Viti Maalum

    Haya ni mapemdekezo sio kugawa. Huyu Dada yuko vizuri kwenye kusimamia haki na Ana principle za kutenda na kutetea haki. Elimu na exposure yake vinafaa pia
  2. E

    Watoto wa vigogo na ajira BoT

    Kuna Wengine tumesoma napo sijui walikuwa bright lini. Sometimes mnatetea mambo may b because yanawagusa directly ila watoto wavigogo hapo ndani personally nawajua wawili, they are no first class materials nor 2nd class. Nawapa Hongera sana coz shuleni walikuwa wanapiga Bata sanaa, wakitucheka...
  3. E

    Nahitaji old model noah less than 100,000km

    Okey ila sioni kama ni ishu...
  4. E

    Nahitaji old model noah less than 100,000km

    Ninayo ila kilometer 150k, kwa bei hiyo haya ukiagiza hupati
  5. E

    TISS walibariki UJENZI wa GHOROFA linalotazama IKULU

    Hii mada ilikuwa inaendelea vizuri ikitafuta kiini cha tatizo. Sema kuna pandikizi humu ndani wanatutoa kwenye mstari. Haya turudi kwenye mada, hadi sasa tunafahamu yafuatayo 1. TISS wanahusika na hili swala kwasababu ni sehemu ya kazi yao. ( kama unabisha anzisha Uzi mwingine ujadili kazi za...
  6. E

    Toyota passo 2004 au zaidi..

    Oil filter ni 60,000 brake pads 50,000. Ila kanapiga mzigo sana, hakaharibiki kirahisi. Very stable car ukibadili tairi zake kuwa 14 nch.
  7. E

    Madereva wa magari ya abiria wa kwenda mikoani wamegoma

    Magufuli amekuwa mtu wa jazba zaidi. Kisheria daraja la kupitisha tani 10 linatakiwa kuwa na uwezo wa kuhimili hadi tani 15. Kwenye engineering tunaita safety factor, sasa kama barabara zetu zinapitisha maximam tani 25 per axle ya super single. Inamaana atleast tani 30 zikipita no permanent...
  8. E

    Upanuzi wa JKNIA

    Uwanja Umeanza kujengwa... Right now inafanywa geotechnical analysis. Waliopanda ndege karibu watakuwa wanawaona watu wanafanya kazi pale
  9. E

    Kitu gani katika picha hii cha kushangaza?

    Huyo anaye represent Tanzania mbona sio Mtanzania.
  10. E

    Hii ya BBC inauma kwa Mwenye utu

    Kabla Hauja hitimusha jiulize Je ni sehemu gani Tanzania jeshi ka Tanzania linalinda mpaka wake kama wako vitani? Je ni sehemu gani ikifika usiku lazima upewe escort ya polisi ili uweze fika salama? Ukipata hayo majibu utajua JK hajakurupuka.
  11. E

    Mabasi ya Zambia yaliyoruhusiwa kupita mzani wa Kibaha bila kulipa yakamatwa tena Mbeya

    Watu wengi huwa wanakariri vitu na wanashindwa kutafakari dhumuni ya sheria. Mwakembe hajakosea kuruhu hayo magari yapite. Urefu wa gari kuzidi 0.5 m hauna madhara kwenye barabara zetu. Ingekuwa uzito umezidi hapo lingekuwa kuwa sawa kuna makosa. Watu waache kumtafutia mwakyembe zengwe mwache...
  12. E

    Save 25% ya mafuta kwenye gari yako...!!

    Hiyo product inaitwaje.. ili tuweze kuifanyia research kidogo kabla hatujanunua.
  13. E

    Save 25% ya mafuta kwenye gari yako...!!

    Ingekuwa vizuri ukaweka contacts hapo na duka linalo uza.
  14. E

    nina 7 million nahitaji pickup

    Nina pick single cabin Nissan d21, diesel, comprehensive Insuarance, 4 by 4, sport tyres brand new. 9mil If interested call 0769468102
  15. E

    Prof. Muhongo, Maswi watajwa kuiua TANESCO

    Hapo umenena, kuincrease sales wawakabe wateja Wao ( wakusanye 90%+ ya bili) Waongeze efficiency katika mitambo Yao Then ndo wafikilie kuongeza bei ya umeme. Hata hivyo watuonyeshe hilo ongezeko litaongezaje ufanisi wa TANESCO na utekelezaji wa kuanzisha new source ya power owned by them sio...
  16. E

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Ni masikini kwasababu mapato yote tunategemea kodi. Watalii wakija walipe ili waone hayo maajabu, the real value is in accomodation, food, transport and shopping ya vitu vyetu. Hawa watalii wakija wanaishia kwenye mahoteli ambayo sio ya watanzania, tours sio za watanzania, magari maduka ambayo...
  17. E

    UDSM cha 25 kwa ubora Africa na 4,229 Duniani

    In 2006 university of Dar es salaam was 12th in the continent. Since then it has been a downward spiral, if no measures are addressed the current trend if interpolated to 2030. Udsm will be below 100.
  18. E

    Sakata la Gesi: Tuiangalie kusini kwa jicho la tatu, tuache siasa!

    Dar tunahitaji gas ila mahitaji yetu yawekewe kulala. Gas itakayo kuja iwekewe mipaka ya matumizi. Iwe ya viwanda vilivyopo tu kwa sasa, power station zilizopo, matumizi ya nyumbani na magari. Dar isitumie hii gas kwa expansion but to meet demand. All new uses zielekezwe huko kusini
Back
Top Bottom