Search results

  1. S

    Waliouawa Moshi ni majambazi kweli?

    Tatizo la watu wengine humu hawajui kuwa Polisi wamepewa risasi za kuua watu na huwa wanakwenda kulenga shabaha hivyo picha inayokuwa kule mbele ni kichwa cha mtu. Ukilenga kwenye kichwa umefaulu, Hivyo basi kaa ukijua kuwa hakuna hata Polisi anayefundishwa kulenga pembeni endapo anamuona...
  2. S

    Post za polisi vipi?

    :spy::spy: WANANFUNZI WAMESHAANZA KUINGIA CHUONI TANGU JUMAMOSI WEWE UMELALA USINGIZI, FUATILIA HARAKA USIJE UKAKUTA JINA LAKO LINA MTU MWINGINE. kAMA ULIFANYA INTERVIEW NA UKAPITA BASI WASILIANA NA KITUO CHA POLISI CHA JIRANI NA WEWE AU MAKAO MAKUU YA OILISI DSM. KAMA VIPI NENDA MOJA KWA MOJA...
  3. S

    Usalama wa Taifa waibana polisi; NI KUHUSU TUHUMA ZA MKE WA KIGOGO KUTAPELI...

    MBONA KIGOGO HUYO WA POLISI ANAJULIKANA NI CHAGONJA NA MKEWE NDIYE MTUHUMIWA. KUNA UZI ULISHATOLEWA HAPA KWAMBA MKEWE HUYU NI RAIA WA RWANDA NA AMEINGIZA RAIA WENGI WA RWANDA KWENYE JESHI LA POLISI. MMOJAWAPO YUPO KWENYE BAND YA CHUO CHA POLISI MOSHI ANAITWA VERONIKA, WENGINE WAKO MIKOANI...
  4. S

    Channel 10 wametishwa na serikali kuhusu kipindi maalumu cha Mwangosi

    Labda ni jumamosi ijayo kwani walitaja ni jumamosi tarehe 08/09/2012?:bange::bange:
  5. S

    FikraPevu: Polisi aliyefyatua bomu lililoua mwandishi akamatwa, kushitakiwa kwa mauaji

    Huyo askari ni kati ya waliopelekwa Iringa toka hapa Dodoma muda wowote tutawajulisha jina lake, muwe na subira anajulikana na kama hawajamkamata kweli kama taarifa hii inavyoeleza kana tetesi za yeye kukimbia kwenda kusikojulikana na hapo ndiyo utakuwa mwisho wa story.:flypig:
  6. S

    TZ VS MALAWI lawyers on dispute issue....

    kwani hao mawaziri wa mambo ya nje tangu tupate uhuru kazi zao ni nini? Wanakaa ofisini wakiwaza safari za ulaya tu na kusahau mambo kama hayo ambayo ni ya muhimu. Ni vilaza ka bisa hawana maana. KWELI SERIKALI NI DHAIFU.:majani7:
  7. S

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    Askari aliyemuua mwandishi Mwangosi ni miongoni mwa askari walioletwa Iringa kutoka mkoa wa Dodoma ili kukabiliana na CDM na kuna uwezekano wa huyo jamaa kurudi haraka Dodoma na baadae kujenga utetezi wa "albi" Hii taarifa za askari kwenda iringa kutoka hapa Dodoma ni za kweli kabisa na huyo...
  8. S

    Wanajeshi wa Tanzania Wafa Maji Darfur

    wewe kassim uelewa wako ni mdogo sana sas kama hawakuuwawa na maji wameuwawa na kitu gani? Rudi shule usianze kuangalia upande mmoja tu kuna sentensi zina maana zaidi ya moja, lakini wewe unakwenda moja kwa moja kwenye maana moja tu unayoija " cause of death ni nini? Bila hayo maji wangekufa...
  9. S

    Wanajeshi wa Tanzania Wafa Maji Darfur

    Taarifa ambayo imenifikia muda huu kutoka huko nchini Sudan jimbo la Darfur.Kuwa askari wawili wa jeshi la wananchi wa Tanzania wamekufa kwa kuzolewa na maji wakati wakivuka mto kwa kifaru na gari lingine la kivita. Askari hao kwa ujumla wao walikuwa wanne. Tukio hilo limetokea jana majira ya...
  10. S

    Siri nje kujisalimisha kwa anayedaiwa kumteka Dr. Ulimboka

    Kwanza huyo jamaa ni mgeni kama inavyodaiwa na huko kwenye kanisa nani kamuonyesha na ni nani kamfahamisha kuwa kuna mchungaji aitwaye Gwajima? hii yote ni danganya toto. Kingine ni kuwa jambazi la hatari kama hilo kupelekwa mahakamani harakaharaka na inaonyesha kuwa hata charge zake...
  11. S

    Kamanda Chagonja amtisha na kumkejeli Dr. Ulimboka

    :spy:JAMANI NAFIKIRI BADO HAMJAMTAMBUA CHAGONJA AKILI YAKE YOTE KWA SASA HAIPO KWANI MWANAMKE WA RWANDA ALIYE NAYE ALIMTOA NGARA KWA WAKIMBIZI KWA UFUPI ALIOA MKIMBIZI NA ALISTAHILI KUSHTAKIWA KWA KOSA LA KUBAKA KWA MUJIBU WA SHERIA ZA UNHCR. HAO NDUGU ZAKE NA MWANAMKE ALIOWAINGIZA KWENYE JESHI...
  12. S

    Kamanda Chagonja amtisha na kumkejeli Dr. Ulimboka

    :eek2:Huyo Chagonja amemuoa mwanamke w toka Rwanda na katika jeshi la Polisi ameingiza wanyarwanda wengi sana jeshini humu kupitia mkewe huyo.Kwani Mkewe anachomweleza hakatai. Ushahid upo wa kutosha na askari hao wapo jeshini humu bila kufuata taratibu za uhamiaji. Ni mbabaishaji kwelikweli...
  13. S

    Kwa hili Godbless Lema unakosea

    movement 4 change, kama unaogopa nenda kashinde moshi urudi jioni:nod:
  14. S

    Taarifa za LEMA zilivyopokelewa Mtwara

    akaribie lakini ameanza kutoa fyongo, huyo Lema anamsikia tu na kumuona kwenye TV lakini swala la gari na mambo mengine ni vitu vidogo sana. Hujiulizi kwa nini wanamuogopa hivyo. Unafikiri Arusha ni sawa na MAHUTA? Toa vitu vya kueleweka na sijui huyo MURJI wa CCM mnampendea nini hapo mjini...
  15. S

    Elimu ya Godbless Lema utata mtupu

    wenye Elimu kubwa mbona ndiyo wezi wakubwa. Hata kama hajasoma watamchagua tena tu na safari hii ccm itajuuuuuta kurudia uchaguzi Arusha mjini maanake wanazidi kuongeza chuki ndani ya jamii dhidi yao. Mimi nakaa pembeni natazama huo mpambano maanake Arusha huwezezi mwambia mtu kuhusu CCM...
  16. S

    Mkapa: tume tangazeni matokeo CCM imeshinda muuwaache waende mahakamani

    nami nakubali kuwa anapelekeshwa kwa madhambi aliyofanya akiwa ikulu. sasa huyo SIOI ujue hakubaliki arumeru yaani hata kwenye kata yake ameanguka tumsaidiaje mkapa anajishushia heshima kwa kasi sana:playball:
  17. S

    Live:Tbc1 hapa Nape Nnauye na pale John Mnyika

    hata akipanua miguu kuna tatizo gani kwani ni gauni? hebu tueleze mambo ya maana huko sisi ambao ccm haijatuwezesha kuwa na umeme kwa ajili ya kuwasha tv zetu. huku kwenye jimbo la wasira ni giza tupu
  18. S

    Nataka NAPE ujibu hili

    kama bingwa akakae meza moja na EL ingawaje wapo chama hichohicho na asipoangalia huyo jamaa atammaliza bila yeye kujua yameanzia wapi. Asifikiri EL anampenda Nape, muda wowote atammaliza tu anamvutia pumzi na sasa ndiyo hasira zimepanda na mkwewe kukosa ubunge.:bounce:
  19. S

    Maji marefu, Lusinde na Wassira ndio walioingusha ccm

    kule arumeru kwanza wananchi hawana tatizo kuuubwa kama vile igunga au lindi ambako barabara bado ni vumbi kwa kwenda mbele. maeneo hayo ukiwaeleza kuwa ccm haijaleta maendeleo hawajui. Sasa wasira yeye alifikiri huku arumeru ni sawa na maeneo hayo na anakotoka yeye. Pale arusha yale yanaonekana...
  20. S

    NAPE: Nalipenda sana gwanda la CHADEMA

    naye kavaa kutokana na msiba wa ccm jana huko arumeru
Back
Top Bottom