Search results

  1. M

    Mwaliko.

    Ikiwa kuna mrembo yupo hapa mitaa ya MAC RESTAURANT, njoo tuzungumze kidogo.
  2. M

    Hawa watoto wa kike, mmmh tuzaeni tu

    Habari za jumatatu ya pasaka wapendwa. Nilichokiona leo saa alfajiri, kimenifanya nifikilie hali itakuwaje kwa hawa mabinti zetu mwaka michache ijayo. Hivi inakuwaje binti unatoka kwenu kwa kisingizio cha kufanya mazoezi wakati unaenda kupigwa shughuli tena kwenye miti iliyopo uwanjani bila...
  3. M

    BMW X5

    Naomba kufahamu ubora wa gari BMW X5.
  4. M

    Happy new year 2026

    TEN WORDS OF WISDOM __________________________________ 1. ON EARNING: Never depend on single income. Make investment to create a second chance. __________________________________ 2. ON SPENDING: If you buy things you do not need, soon you will have to sell things you need...
  5. M

    Ajira za serikali.

    Ndugu wanabodi, heshima kwenu nyote. Naomba msaada kwa wale wenye uzoefu wa kuajiliwa serikalini. Mke wangu kapata appointment serikalini hivi karibuni. Wakati anafanya application, alishauriwa aambatanishe na chetu cha ndoa pamoja na barua ya kuomba apangiwe maeneo ya karibu ili asiwe mbali na...
  6. M

    Star Tv mnatoa habari ndivyo sivyo

    Wanajamvi, kutokana na kile kinachofanywa na chombo hiki cha habari ku-promote ujinga hasa ktk kipindi hiki cha mchakato wa kutafuta katiba mpya, ninatangaza rasmi kutopoteza muda wangu kuangalia star tv.
  7. M

    Neno la Leo.

    Kama huna jambo/neno zuri la kuzungumza kuhusu mtu mwingine, nyamaza. Kama kuna ulazima wa kuzungumza hilo ulilonalo moyoni, basi mueleze mwenyewe. Jumapili njema wapendwa.
Back
Top Bottom