Search results

  1. I

    Quote From: The President Dr. Jakaya M. Kikwete!

    Vipi ile taarifa ya CAG (Mhilu) ya mwaka 2009 kabla ya hajawa rais. Je, wahusika wa wizara ya ya Mambo ya nje ambayo ni kati ya wizara zilizoongoza kwa kutafuna. alikasirika.
  2. I

    Quote From: The President Dr. Jakaya M. Kikwete!

    ndivyo alivyojipanga kutafuta umaarufu wa bei chee. Ana mkasirikia nani, mbona waliotafuna EPA na Tanesco hajakasirika ?
  3. I

    Nape atoa povu alipoulizwa CCM imekuwa chama cha Watoto wa viongozi kama yeye

    Huyo ni Vuvuzela likipulizwa tu linatoa sauti.
  4. I

    Jeshi la polisi kwa hili tukio la leo mnawaonea CHADEMA

    Kama walikuwa na kibali cha Maandamano ilitolewa wapi ?
  5. I

    Mawaziri Wagoma: Mkulo asema hawajibiki kamati kuu CCM, Nundu acharuka, Maige niache

    Ingawa Mkullo simpendi tokana utendaji wake. Lakini yupo sahihi. Kwani hajawahi kutokea tangu enzi za JK wa ukweli kupata baraka za CC. Mwenyekiti anachemka ile mbaya, labda angekuwa ameomba baraka wakati wa uteuzi ningeona mashiko kidogo. Mbona tangu EL ajiuzuru jamaa anapwaya ?
  6. I

    Jeshi la polisi kwa hili tukio la leo mnawaonea CHADEMA

    Pia nakumbuka JK alituambia pale jakwani kuwa vyama vya upinzani vinafanya kazi uchaguzi ukikalibia. Sasa magamba wamemsikiliza JK, CCM wanaanza kupinga hatua hiyo.
  7. I

    Jeshi la polisi kwa hili tukio la leo mnawaonea CHADEMA

    CCM sisi wananchi tunawapima kwa uwezo wenu wa kupambanua mambo, na kusimamia yale nayotolea maamuzi. Mimi sielewi ile historia ya Shule ya msingi inawasaidia nini ? endapo mesahau kuwa Nyerere alianza siasa akiwa shuleni hadi chuoni tena akiwa mwanafunzi hadi alipokuwa mwalimu.
  8. I

    Nape atoa povu alipoulizwa CCM imekuwa chama cha Watoto wa viongozi kama yeye

    Jamaa ni vuvuzela. Lokipulizwa tu kama kawa halina mipaka wala kupambanua misingi ya hoja. Nimeshangaa aliposema kuwa hoja ya ubadhirifu ni ya CCM. Wakati watu wote wanajua kuwa ni ya Bunge (Bila ya kujali imetolewa na mbunge wa chama gani). Pia eti wao wapo 78% wangetaka wangeimaliza. Swali...
  9. I

    Je, hawa tu ndio CCM vyuo vikuu?

    Jamani mimi labda sikuelewa vizuri. Nakumbuka kuwa serikali ilipiga marufuku siasa katika vyuo vikuu na kwamba ikionekana mwanafunzi anajuhusisha na siasa atafukuzwa shule. Sasa hii sielewi imekaaje ? au kwa ccm Ruksa
  10. I

    Mawaziri wa JK: Ngeleja na apartment ya $350,000

    Hawa jamaa sio Wazalendo kabisa. Sasa hizo nyumba za serikali walizopewa waishi si wangeziachia ili wakae akina Nahodha. kwa kweli uchoyo bwana. Then, wanasema Dr. wa Ukweli hana uzalendo. Kwa hili Mawazili wote wana Mahekalu. Mzee wa data (Klm za barabara) yeye ndiyo Kamaliza
  11. I

    Mawaziri wa JK: Ngeleja na apartment ya $350,000

    Karibu wote, nasikia mzee mzima Pombe niyo balaa, yeye anazo tatu pale Kinondoni. Hiyo sio mbaya sasa wateja wake wanajenga barabara za Tanganyika.
  12. I

    Waziri Maige na nyumba ya Sh milioni 656m

    Lakini, hizo biashara na nyumba zake tume ya maadili ya viongozi wanazijua ?. Kama ni nyumba za kifahali na zenye bei mbaya viongozi wengi wanazo. Hofu yetu ni kwamba wamezionyesha kwenye orodha ya mali walizonazo ? Na hii, kabla ya kuwa waziri na baada ya kuwa waziri. Kama ana Biashara je...
  13. I

    Dogo janja

    Maneno Machache lakini mazito na yenye ukweli na upendo.
  14. I

    Nataka NAPE ujibu hili

    Kwa maana nyingine ameshatuambia kuwa wamehusika. Kwa kutamka walianza wao kwa hiyo wao wanajibu.
  15. I

    Mbowe atoboa siri

    Nimependa mlivyofanya mkutano wa shukrani. Kwani ndiko hasa shukrani zinatakiwa zitolewe sio Manzese kama walivyo fanyiwa wana Igunga. Wana Igunga Chukueni hili kama changamoto kwenu na kujiuliza kwa nini mkutano wa Kwanza wa Dr. kamfumu alifanyia Manzese na alipokelewa na wana Dar. Wana arumeru...
  16. I

    Nataka NAPE ujibu hili

    Kajikamata aliposema kuwa "Walianza wao (CDM)". Kama kuna neno Wao kwa akina nani ? maana unapotumia neno "wao" lazima kuna upande mwingine unaohusika ambao wewe uliyetamka upo huko. Hapa nape umejitia hatiani. Nilikwambia usipende kutamka maneno bila kuhusisha akili yako, kama umehusisha basi...
  17. I

    Hongera CHADEMA, Tumekubali mmeshinda! Timizeni AHADI zenu!

    Watatekeleza ilani ya CCM kwa vitendo kwa vile ndiyo yenye serikali. Walichokieleza kwenye Kampeni ni ulegelege wa Mbunge aliyepita na chama chake kuwafanya wana Arumeru kwa hawajui kitu. Namuomba Nape utambue wewe ni kiongozi, unalolisema leo liwe na mahusiano na ulichokisema, ulichofanya na...
  18. I

    Matokeo bado?

    nina maana tuwe na system yetu ya kukusanya final results kwa kila kituo kabla wakala hajashawishiwa kubadilisha. CDM ikifanya hivyo itasababisha wakala afikilie zaidi jinsi ya kufanya. Hawa jamaa ni wazuri sana wa Kuwatenda wenzao
  19. I

    Matokeo bado?

    Sawa; CDM kuwe na mtu anafanya "coordination" na mawakala wa vituo vilivyopo mbali ili kukusanya matokeo kabla hawajatutenda.
Back
Top Bottom