Search results

  1. tungibwaga

    Nyumba inapangishwa

    Nyumba inakodishwa, ni two in one apartment zenye vyumba vitatu vya kulala, choo cha ndani, kimoja na cha nje kimoja kwa kila apartment, luku ya umeme kila apartment, jiko, sitting room, feni kila chumba na sitting, floo tiles, parking ndani ya fensi. Maji mpaka ndani. Kodi kwa mwezi ni Tshs...
  2. tungibwaga

    Mzee Amosi Mwambungu afariki dunia Mbeya Mbalizi

    Hello Benjamini, mzee wako kafariki Mbeya jana please upatapo taarifa hii wasiliana na ndugu zako.
  3. tungibwaga

    CISA vs ACCA

    Jamani naombeni ushauri Nina Bcom option Accounting,nataka kuongeza ufahamu kidogo nipe ishauri nisome nini kati ya CISA OR ACCA
  4. tungibwaga

    Nauza gari spacio new model cc 1490

    Wadau nauza gari spacio new model iko fresh sana rangi -gold km-42000 cc 1490 power window ac dvd remote keys bei 11.9million call 0714501992:-*
  5. tungibwaga

    Gari inauzwa spacio cc 1490

    Nauza gari spacio new model,rangi gold,sit 7/7 passages,km 42,000,Ac,DVD,power window,registered .Cash TZS 12,000,000Ipo Dar es salaam.Kama unataka tuwasiliane 0714-50 19 92
  6. tungibwaga

    Naomba kujua jamani Kuhusu kuwa Mjumbe wa NEC wa CCM ni nini hasa faida.

    Kuna kitabu kiliandikwa na Prof Mwandosya chenye title ya SAUTI YA UMMA NI SAUTI YA DEMOKRASIA. Nimesoma hiki kitabu mwanzo mwisho kwa ufupi ndani ya hicho kitabu Prof ameelezea hasa issue ya Uchaguzi wa Ujumbe wa NEC na njisi walivyo mpiga vita sana wana ccm wenzake 2007.Mimi nataka kujua faida...
Back
Top Bottom