Search results

  1. J

    Msaada: Biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani

    Kila jambo bhana na juhudi binafsi + usimamizi wa bumper to bumper.
  2. J

    Ongezeko la umiliki wa maduka kwa pisi zenye makalio makubwa

    Mjini Kuna mengi, unayoyajua na usiyoyajua. We just pita zako uendelee na safari. Yatakayojiri UHAI ukiwepo utayaahuhudi.
  3. J

    Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

    Kuna Crown Royal Ile Sasa ndio moto ProMax. Hata bei sio yake YAP.
  4. J

    Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

    Sasa shida ipo kwa hao wanakijiji elimu Yao na ufahamu wao sio kama wako. And why uishi wanavyokudhania wewe -na usiishi wewe kama wewe?
  5. J

    Duka la mangi: Tunduma/Kahama

    Nenda Dodoma. Mji unakua kila siku utapata tu location Yako ukawe mkongwe wengine wakukubali
  6. J

    Duka la mangi: Tunduma/Kahama

    Akachimbe KISIMA auze Maji... 😀
  7. J

    Elimu ya kuendesha duka la "mangi" itolewe mashuleni

    MWENYEZI Mungu hamnyimi mtu riziki.
  8. J

    Biashara Dodoma

    Hahaha imebidi nicheke... Ili asiwe na Upwii eeh
  9. J

    Ushauri na maoni kuhusu biashara ya kuuza mayai ya kuku wa kisasa

    Nikupe idea ingine papo hapo - kama Kuna Boda Boda kijiwe around hapo fanya hivi ku-ongeza idadi ya wateja: Waambie wakikuletea idadi Mteja akanunua tray mfano 10 ana buku lake... (Kila tray faida jero - ukitoa buku kumbuka kuwa yule Mteja next time atakua ameshapafahamu dukani tayari una...
  10. J

    Ushauri na maoni kuhusu biashara ya kuuza mayai ya kuku wa kisasa

    Mimi nauza MAYAI pia na ndio yanaboost mzunguko wa biashara. Tafuta sehem karibu na frem wanapouza bidhaa zingine za jumla (frem isiwe kubwa kusave cost) weka mayai uza JUMLA. Fuatilia soko la kila siku bei inabadilikaga (katika kila Mkoa Kuna kuaga na mwamba mmoja always ana control bei ya...
  11. J

    Ushauri na maoni kuhusu biashara ya kuuza mayai ya kuku wa kisasa

    Naongezea, duration ya mayai ni week 3. Isizidi hapo. Kama alivyosema mdau, tafuta penye mzunguko wa watu - wateja ikiwezekana wafuate pia wakufahamu, mayai yawe makubwa.
  12. J

    Ni aidha uwe na mvuto au uwezo wa kuwahudumia. Vinginevyo wanawake hawana simile na wewe

    Hapa bhana pesa ndio kila kitu... Pesa ndio mpango mzima. Ukizikosa hata ndugu wanakuchukulia poa bado marafiki esp wanafiki.
  13. J

    Biashara Dodoma

    Boda Ina kichefu chefu sehemu Moja/mbili - kupata dereva mwenye uaminifu/mwenye kurejesha pesa. Uki-win hapo tu utakua umetisha sana.
  14. J

    Milioni 3 naweza kuanzisha biashara gani?

    Hapo kwenye mahitaji ya nyumbani penyewe kwa 3mil atafute tu frem isio bei mbaya, atafanya biashara.... Mahitaji ya nyumbani au bidhaa zinazohitajika kila siku ni biashara nzuri.
  15. J

    NHC Kujenga nyumba za bei nafuu kibada-Kigamboni

    Kigamboni ni mjini. Miji inakua, usihofie umbali . Lasingi ni kufanya personal follow up ujiridhishe in and out.
  16. J

    365 Daily Success Quotes

    additional advice find & read books about that topic...
  17. J

    Nani mmiliki wa sophia house?

    Hehe kazi kweli kweli hii thread
Back
Top Bottom