Search results

  1. S

    Why should Magufuli reject Sylvia Mulinge as Vodacom CEO

    Bearing in mind that telecommunication industry in Kenya is not that vibrant as it is in TZ. Bongo competition ni stiff.
  2. S

    Jinsi Elimu ya SUA ilivypoteza dira kwenye labour market, TCU imulikeni kwa macho mawili

    Hujui hata unachozungumza.... kama mtu amesomea nzige na anaenda kwenye interview ya bank inayohitaji watu waliosoma banking, accounting, finance nk. then bank inaamua kumchukua mtaalamu wa nzige na kuwaacha hao wengine wakiendelea kuzunguka na bahasha, huoni kuwa hiki chuo kinatoa graduate...
  3. S

    Jinsi Elimu ya SUA ilivypoteza dira kwenye labour market, TCU imulikeni kwa macho mawili

    Huyo anajiropokea tu, hajui SUA ni one of the best universities in Africa.
  4. S

    Serikali yawasimamisha viongozi 5 waandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)

    Aliyepewa kukaimu ni mkurugenzi wa fedha!!! Mkurugenzi mkuu anapigaje dili bila mkurugenzi wa fedha??? Mkurugenzi wa fedha ana uwezo wa kuongoza biashara ??au huyu ndo alikuwa anataka nafasi yake. Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
  5. S

    Nairobi Hospital: Hatujapokea fedha zozote kutoka Bunge la Tanzania

    Uliwahi kujua kufuatilia exchange rate ya Japanese yen? Unajua kenya shilingi ina thamani kubwa kuliko yen unapozilinganisha na dola? Je hii inamaanisha uchumi wa kenya ni imara kuliko wa Japan?
  6. S

    Kijana epuka ndoa na wanawake wenye kazi hizi

    Kwa hiyo wewe umeoa barmaid??? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    Ushindi wa kishindo wa Paul Kagame kwa 98%, ni funzo gani kwa Demokrasia hapa Bongo?

    Ni kama ushindi wa Dr. Shein kwenye uchaguzi wa marudio. Huna mpinzani, so anaekwenda kupiga kura ni atakaye kuchagua Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    Hongera Bi. Elsie Kanza, mshauri wa Uchumi wa Rais Kikwete!

    Na MSc Finance ya Strachlyde ya UK iliyopo IFM Dar.....
  9. S

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Mwenyekiti aliyeuza chama ndio hatari zaidi. Kimsingi alipaswa kujiuzulu mara baada ya strategy yake kufeli
  10. S

    ''Uende kunishtaki wakati nakulinda na jeshi langu?'' Tunavutia wawekezaji gani na kauli kama hizi?

    Ukigundua ulilizwa kwenye mkataba ucheke tu, ndo uungwana huo?? Ujinga mtupu
  11. S

    Kwanini Tanzania hatukualikwa Mkutano wa G7 Taormina,Sicily

    Fikra za kitumwa zinasumbua sana. Ukialikwa na wakoloni, ukaongea kikoloni unajisikia umefanikiwa sana. Yaani thamani yetu inapimwa kwa uhusiano wetu na wazungu....upuuzi Kikwete alikuwa anaalikwa sana, tumenufaikaje kama taifa????
  12. S

    Rekodi haziongopi

    #Team wapigadili
  13. S

    Mdororo wa uchumi: Nakushauri Rais Ujiuzulu

    Yaani kichwa chako ndo IMF siku hizi? Leta hiyo report hapa
  14. S

    Kwanini Rais Magufuli hakuenda Davos mwaka huu?

    Ukishahudhuria ndo kinatokea nini? Ukienda Davos Namtumbo wanapata maji? Ukienda Davos unaongeza idadi ya madaktari? Ukienda Davos ndo umeme unafika kazuramimba? Ukienda Davos ndo Songea wanapata uwanja wa ndege?
  15. S

    Kwanini Rais Magufuli hakuenda Davos mwaka huu?

    Tuambie manufaa tuliyopata kama nchi katika hiyo miaka 10 ya kuhudhuria kwa uaminifu
  16. S

    Humphrey Polepole hajaridhika kupewa ukuu wa Wilaya? Mbona hasikiki au kuonekana kama zamani?

    Ni takribani miezi sita tangu Humprey Polepole ateuliwe kuwa mkuu wa wilaya ya Ubungo, lakini sijaona na nashindwa kujua anafanya nini?
  17. S

    Hijab kwenye shule za kikristo

    Kuna tofauti kati ya seminary na shule inayomilikiwa na kanisa au jumuiya ya kikristo. Seminary ni shule maalum inayomwandaa mtu kuwa mtumishi wa Mungu kanisani. Katika shule hizo maadili ya shule husika lazima yafuatwe. Shule nyingine za mission zinafuata utaratibu wa kawaida wa shule, ndio...
  18. S

    Kanisa Katoliki limekuwa tumaini kuu kwa masikini, yatima na wenye njaa. Ingawa kuna wanaolibeza

    Injili kwa matendo ni muhimu lakini ni lazima kuishi maisha matakatifu, Waebrania 12:14 inasema: "Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao" Matendo ya huruma lazima yaambatane na utakatifu.
Back
Top Bottom