Search results

  1. Dr.Mo

    Pongezi kwa MBOWE na MAALIM SEIF kwa kusimama KIUME MABADILIKO.

    Nawapa heshima ya juu sana mbowe na maalimu seif kwa kujitoa na kupigania mabadiliko Kutokana na hali ya siasa na uchaguzi inavyoenda imeonesha MBOWE na MAALIM SEIF ndo walikuwa WAPINZANI wa kweli wa CCM, hii inadhihirika kwa KUWEZA kuwahundua na KUWAEXPOSE mamluki wa KITENGO ndani ya upinzani...
  2. Dr.Mo

    Nawapongeza wasanii waunga mabadiliko Tanzania

    Niwapongeze wasanii Aunt Ezekiel, Jackie Wolper, Shamsa ford na Nay wa mitego kwa kuunga mkono mabadiliko katika nchi yetu. Si jambo ndogo kuacha rushwa na vitisho vya CCM na kuunga mkono mabadiliko, inahitaji uwe strong, uwe mvumilivu, ukubali kuona wasanii wenzako wakimwagiwa marushwa na...
  3. Dr.Mo

    Ushauri kwa UKAWA na LOWASA namna ya kushinda UCHAGUZI

    Ushauri kwa UKAWA na LOWASA jinsi ya kufanya kampeni, na usimamizi wa kura ili waweze kushinda uchaguzi na hatimae TANZANIA kupata mabadiliko ambayo yanasubiriwa kwa hamu.UKAWA na LOWASA ndani ya wikii hii wameonesha tofauti kubwa ya kufanya kampeni za kisayansi na za kisasa, hasa kwa kutumia...
  4. Dr.Mo

    Mpango wa Magufuli na CCM kwenye mambo ya afya

    Nimemuangalia Magufuli akiongelea kuhusu masuala ya afya na kutoa ahadi mpya nyingi, mimi kama mdau wa afya ntaongelea kidogo hili jambo. -Kwanza Magufuli na viongozi wengi hasa wa CCM, wanaonekana maswala ya afya na matatizo yake hawayajui kwa undani, na huongea mambo ambayo kwa kweli huyasikia...
  5. Dr.Mo

    UKAWA - Lowassa KUSHINDWA vibaya uchaguzi Oktoba 2015

    Nimeona taarifa ya kubenea kutoka CHADEMA BLOG kwamba kuna shahada feki zaidi ya milioni 2, ambazo zinasemekana zimetengenezwa na tume kwa ajili ya kiziingiza na kuingozea kura ccm. Na pia anasema zaidi ya asilimia 70 ya vijana hawaoni majina yao kwenye orodha na kumbukumbu za tume...
  6. Dr.Mo

    Wapenzi wa Sweat Reggae, pata ngoma kali ya Jumapili

    cc:georgeusmimi,malkia,mamayoy o,eiyer,measkron, Blessed,BAK, sr bachelorhttp://youtu.be/zIBsnuDpMuk?list=PL4A99669E7CB FD969
  7. Dr.Mo

    Why are black women so argumentative? Melisa Ortiz anasema kweli?

    http://youtu.be/o_OCxh769Vs
  8. Dr.Mo

    Burudan ya jumapili

    wapenzi wa sweat slow reggae...pateni kitu hicho....cc BAK, Eyer, Measkron,georgeousmimi, vaislay http://youtu.be/DYiqFEFbzdY
  9. Dr.Mo

    dedication to new generation of sweat reggae-night nurse by gregory isaac

    http://youtu.be/OXbksAfZgJo.....cc: mama yoyo
  10. Dr.Mo

    Mtazamo: Chadema kushidwa vibaya chaguzi zijazo za serekali ya mitaa na uchaguzi mkuu.

    Chadema ni chama ambacho kina wafuasi(sio wanachama) wengi hasa vijana lakini nasikitika kwamba kisipokuwa makini kitashidwa uchaguzi wa serekali za mitaa vibaya na hata ule mkuu mwakani sababu naona chadema haiangaiki kabisa na swala la wapiga kura na maswala yote ya kura, chadema tumesahau...
  11. Dr.Mo

    hello

    hellow wakuu wote wa jf...kamanda mpya naombeni mnikaribishe
Back
Top Bottom